Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA BAGAMOYO

$
0
0
 Baadhi ya wananchi wa Bagamoyo wakiswali swala ya Magharibi wakati wa  futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
 Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akichota futari pamoja na  wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
 Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akijumuka  na wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.

 Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa neno la shukurani kwa wananchi wa Bagamoyo waliohudhuria  katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.

 Sehemu ya kinamama  wa Bagamoyo waliohudhuria katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
 Baadhi ya wafanyakazi wahudumu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akiagana na wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani. Picha na IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>