Bondia Ibrahimu Maokola (kushoto) akipiga beg kubwa huku akisimamiwa na Athumani Magambo, wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na pambano lake na Selemani Mkalakali, linalotarajia kufanyika Agost 9 katika ukumbi wa Amenya Pub Mbagala. ![]()
Bondia Ibrahimu Maokola, akifanya mazoezi ya kuimarisha misuli ya tumbo kwa ajili ya kujiandaa na pambano lake na Selemani Mkalakala, linalotarajia kufanyika katika ukumbi wa Amenya Pub uliopo Mbagala siku ya ya Agost 9. Picha na Super D