Naibu Waziriwa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kushoto Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angellah Kairuki (katikati) akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyikaleoJumatanoJulai 23, 2014 katikaukumbiwaMwalimuNyerereJijini Dar es Salaam.
1. Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kutoka (kushoto) ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mhe. Mwigulu Nchemba, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi. PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO