Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*NAIBU WAZIRI ANGELLA KAIRUKI AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU ZIARA YAKE

$
0
0
 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kutoa maelezo ya majumisho ya ziara yake ya siku tano ya kuzitembelea Taasisi zinazotoa Huduma ya Msaada wa Kishria Mkoani Dar es Salaam.
Mkurugenzi mkuu wa kituo cha haki za binadamu  Hellen Kijo Bi. Simba(LHRC) (kulia) akimshukuru Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria baada ya kutembelea Taasisi zinazoshughulikia msaada wa kisheria jijini Dar es Salaam. Picha na Rose Masaka-MAELEZO.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>