Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*KAMATI KUU YA CCM YAMTEUA PHILIPO MANGULA KUONGOZA TIMU YA KUANDAA ILANI YA CCM UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, ADAM KIMBISA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA UHURU MEDIA

$
0
0
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>