Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini anyemaliza muda wake Mhe.Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha na Fredy Maro
Wakiwa katika mazungumzo.
Wakiagana baada ya mazungumzo.