Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MPIGIE KURA MSHIRIKI UMPENDAYE TMT

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MEMBE ASEMA DINI NDIKO KWENYE CHIMBUKO LA AMANI NA UTULIVU, ACHANGIA KITAMBU...

HABARI KATIKA PICHA KUHUSU BARAZA HILO LA EID  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Kamilius Membe, akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim, huku waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA DANCE MIA MIA DON BOSCO OYSTERBAY WIKI...

 Vijana wakionyesha umahiri wao wa kuchezea Baiskeli wakati wa mashindano ya Dance Mia mia, yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Don Bosco Oysterbay wiki iliyopita. Kundi kutoka TMK, likishamblia jukwaa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*POLICE CLEAR MOYES OVER ALLEGED BAR-ROOM BUST-UP

Former Manchester United manager David Moyes has been cleared by police after he was investigated over an alleged bar-room bust-up.The Scot was spoken to by police after claims made by builder Josh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE...

Pichani ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani.Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera...

View Article


*ENJOY NA JAMAA HAWA WENYE UCHU WA NYMA KUZIDI CHUI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATUKIO KATIKA PICHA MAPAMBANO YA NGUMI YALIYOCHEZWA IDDI PILI MANZESE

Bondia Sadick Nuru (kushoto) akioneshana umwamba na Baraka Mchonge wakati wa pambano lao lililofanyika Siku ya Iddi Pili kwenye Ukumbi wa Manyara Park Manzese jijini Dar es Salaam.Katika pambano hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA, INGUNN KLEPSVIK AMUAGA RAIS KIKWETE IKULU...

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini anyemaliza muda wake Mhe.Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga Rais Ikulu jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KIKOSI CHA TAIFA STARS CHATUA SALAMA JOHANNESBURG KUJIANDAA KUWAKABILI...

Na Boniface Wambura, JohannesburgKikosi cha Taifa Stars kimewasili salama jana (Julai 30 mwaka huu) hapa Johannesburg kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kwenda Maputo, Msumbiji kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UKAGUZI WA VITENGO VYA MAWASILIANO SERIKALINI: MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI...

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Bw. Assah Mwambene (Kulia) akibadilishana uzoefu na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga (Kushoto) wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI IDDI ATEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA EID EL FITRI YALIYOANDALIWA...

 Mwakalishi wa Kampuni ya Simu ya TTCL Kanda ya Zanzibar Mohd Yussuf Mohd akimfahamisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mfumo mpya wa matumizi ya mawasiliano unaotumiwa na...

View Article

*HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AWASILI WASHINGTON KUHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA WAKUU WA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya maafisa waliofika kumpokea wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*CCM YASTUKIA USANII WA UKAWA

Chama Cha Mapinduzi kimewastukia Ukawa na kusema wanachofanya ni Usanii usiokuwa na tija mbele ya mambo ya msingi kwa Taifa la Tanzania, akizungumza na mwaandishi wa habari hizi Katibu wa NEC Itikadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KONGAMANO LA MARIDHINO YA MCHAKATO WA KATIBA MPYA KUFANYIKA DODOMA.

Na  Magreth Kinabo- MAELEZOBaraza la Vyama vya Siasa nchini  limeamua mazungumzo  ya maridhiano  kati ya pande zinazokizana kuhusu kuendelea kwa  Bunge Maalum la  Katiba  kutokana na mvutano  ya kutaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KOCHA NOOIJ ANAMATARAJIO KIBAO MECHI YA WAZI DHIDI YA MSUMBIJI

Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij amesema anakiamini kikosi chake ambacho kesho (Agosti 3 mwaka huu) kinacheza mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika dhidi ya Msumbiji (Mambas).Mechi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU WANAJESHI WASTAAFU KUDAI SH. MILIONI 3

Gazeti la Kiingereza la The East African, Toleo Na. 1030 lililochapishwa mwishoni mwa wiki, Jumamosi, Julai 26, 2014, limeandika habari yenye kichwa cha habari “Ex-soldiers want $3m for covert Congo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WATANZANIA WAASWA KUSHIRIKI NA KUCHANGIA MAENDELEO YA SEKTA YA ELIMU NCHINI

 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi na Awali Sunrise ya jijini Dar es Salaam akito neno la kuwakaribisha wageni waliohudhuria mahafali ya wanafunzi wanaomaliza Darasa la Saba katika shule hiyo jana jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*VIONGOZI WAASWA KUENDELEZA UZALENDO

 Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda akikata utepe kuashilia uzinduzi rasmi wa Filamu ya The Minister katika hafla iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT),...

 Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam....

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>