Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MTUKUFU AGAHKAN IKULU DAR ES SALAAM, LEO.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti   wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani, His Higness Prince Karim Agakhan,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ASKARI FEKI WA USALAMA BARABARANI MWINGINE ANASWA CHAMAZI JIJINI DAR LEO

 Askari feki wa Usalama Barabarani ambaye Jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAKE WA VIONGOZI WAMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE NYUMBANI KWAKE MSASANI...

 Mama Maria Nyerere na MamaTunu Pinda wakiangali picha zao walizo pigwa na Mama Othmani  kwenye simu ya kiganjani wakati kikundi cha wake wa viongozi(NEW MELLENIUMWOMEN GROUP) walipo mtembelea Mama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI IDDI AKUTANA NA WACHEZAJI NA VIONGOZI WA TIMU YA AFRICAN COASTL

  Mzee wa Timu ya African Coast Ali Soud akipokea mchango wa Mbunge wa Kitope Balozi Seif kwa ajili ya kulipa deni ya kambi ya timu hiyo pamoja na ada ya timu, kadi za wachezaji pamoja na Mrajisi wa...

View Article

*LIGI YA WANAWAKE MKOA WA DAR ES SALAAM KUANZA AGOSTI 28

LIGI ya Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam inatarajiwa kaunza Agosti 28 mwaka huu katika viwanja vya  Benjamin Mkapa, Bandari na Makurumla.Ofisa Habari wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam...

View Article


*SAFARI YA STARS KUELEKEA MOROCO YAISHIA MAPUTO

TIMU YA TAIFA YA TANZANIA, TAIFA STARS, LEO IMEHITIMISHA MBIO ZAKE ZA SAFARI YA KUELEKEA MOROCO MWAKANI BAADA YA KUKUBARI KIPIGO CHA MABAO 2-1 DHIDI YA MSUMBIJI KATIKA MCHEZO ULIOPIGWA MAOUTO MSUMBIJI,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NBC YATOA MKOPO WA MABILIONI YA SHILINGI KWA MOHAMED ENTERPRISES

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tatu kushoto) akisaini hati za makubaliano ya mkopo wa shs bilioni 100 na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Mohamed Enterprises Ltd (METL),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ETI MCHECHE NDIYO ULIIGHARIMU TAIFA STARS KUISHIA MAPUTO KABLA YA KUENDELEA...

Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij amesema moja ya sababu za kikosi chake kupoteza mechi dhidi ya Msumbiji (Mambas) ni wachezaji wake kucheza kwa wasiwasi katika kipindi cha kwanza.Taifa Stars iliruhusu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZIRI AMOS MAKALLA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

                                                         Marehemu Gabriel Makalla, enzi za uhai wake.Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla anasikitika kutangaza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*GET TOGETHER 2004 UKONGA PRIMARY SCHOOL WAKUTANA

GET TOGETHER 2004 UKONGA PRIMARY SCHOOL wakipiga picha ya pamoja walipokutana kwa mara ya kwanza kwenye Kiota cha Jungle njiapanda ya Segerea baada ya miaka 10 ambapo walijadili masuala mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SIKIKA YAKANUSHA TUHUMA ZA MADIWANI, HALMASHAURI KONDOA DODOMA

Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA WANAWAKE WATANZANIA WAJASIRIAMALI WAISHIO...

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa Ndugu Juster Mutakyawa mara baada ya kuwasili kwenye ofisi ya ubalozi wa Tanzania nchini Marekani iliyoko Washington tarehe 3.8.2014....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO...

Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DCViongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MISS TANZANIA 2012 BRIGITTE ALFRED, JAT KUSOMESHA ALBINO 50

Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango wa kutoa elimu kwa wajasiliamali kwa albino 50, kushoto ni Kaimu katibu Mkuu wa Jumuiya wa watu wenye ulemavu wa ngozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*VIJANA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NCHEMBA WANOLEWA KUHUSU MIKOPO YA YA...

 Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Mkoa wa Dodoma, Boniface Mandia akifungua Mafunzo ya Vikundi vya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UZINDUZI WA VILAINISHI VYA GAPCO RELSTA ALPHA 4T JIJINI DAR

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarania Tanzania, Mohamed Mpinga na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Afrika Mashariki, Macharia Irungu wakipiga makofi mara baada ya kuzindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAELFU WAJITOKEZA KUMUAGA MWEKA HAZINA WA MANISPAA YA ILALA MAREHEMU MEDARD...

Watoto wa marehemu Medard Kabikile Stima, aliyekuwa Mweka hazina wa Manispaa ya Ilala wakiwa wamebeba msalaba pamoja na picha kuongoza shughuli ya kuaga mwili wa marehemu baba yao katika viwanja vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*VETA KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI

Wafanyakazi na wanafunzi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA kutoka vyuo mbalimbali nchini wapo katika maonesho ya wakulima nane nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Lindi katika viwanja vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MZEE YUSUPH AIBUKIA KWENYE FILAMU YA NITADUMU NAE, CHEKI TRELA YA MUVI YAKE...

Itaanza Kupatikana Kuanzia Jumatatu ya tarehe 11 August 2014 katika Maduka yote Tanzania. Usikose Nakala Yako.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*PRESIDENT KIKWETE ADRESSES A CORPORATE COUNCIL ON AFRICA'S 'LEADING THE WAY...

 President Kikwete addresses Corporate Council  on Africa's 'Leading the way on US-Africa Investment in Town Hall Meeting on Open Government Partnership (OGP) at the National Academy for Sciences in...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>