*WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WALIPOTINGA UKUMBINI MJINI DODOMA KUANZA KIKAO...
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiingia ndani ya Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma Kuanza ngwe ya pili ya mjadala baada ya kuahirishwa Tarehe 25 April 2014...
View Article*MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA MAKTABA YA KISASA...
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua maktaba ya shule ya sekondari ya Chalinze mjini Chalinze jana ambayo imejengwa na Kampuni ya Tanga Cement kupitia bidhaa yake ya...
View Article*WAJUE WANAMUZIKI WA TANZANIA WANAOIWAKILISHA NCHI YETU NJE YA MIPAKA YA NCHI
Mwanamuziki wa Tanzania Fresh Jumbe, anayefanya shughuli zake nje ya akishambulia jukwaa.**********************************Kuna wanamuziki wa Tanzania wengi walio nje ya nchi lakini wengi huwa...
View Article*MAONESHO YA NANE NANE MKOANI ARUSHA WANANNCHI WAFURIKA BANDA LA BALTON...
Ofisa Mauzo wa Vifaa vya Kilimo wa Kampuni ya Balton Tanzania, Moses Lembris (kulia) akitoa maelezo kwa baadhi ya wananchi wa jijini Arusha, waliofika katika Banda la kampuni hiyo, kwenye maonesho na...
View Article*BUNGE LA KATIBA LAPITISHA AZIMIO LA MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KANUNI
Na Magreth KinaboBunge Maalum la Katiba limepitisha azimio la mapendekezo marekebisho ya baadhi ya Kanuni za Bunge Maalum la Katiba ili kuwezesha ili kuwezesha kijadili Rasimu ya Katiba kwa muda siku...
View Article*KIJANA ALIYEZUA TAFRANI POSTA MPYA
Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja akidhibitiwa na polisi wa doria, baada ya kumtia nguvuni wakati akileta vurugu maeneo ya Posta mpya jijini Dar, akielezwa kuwa amechanganyikiwa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI KWA NCHI...
Makamu wa Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo cha Nelson Mandela, Bernard Mussa, aliyetafiti...
View Article*WANAMICHEZO WA TANZANIA WALIOKWENDA NA 'VIDONDA NA WALIOSHIKWA NA TUMBO LA...
Mwakilishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (kushoto) akisalimiana na Viongozi walioongozana na timu kwenye...
View Article*RAMBIRAMBI MSIBA WA MAKAMU WA RAIS FIFA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Shrikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Sepp Blatter kutokana na kifo cha makamu wake...
View Article*KLABU ZA LIGI KUU NA FDL ZATAKIWA KUWASILISHA MABENCHI YA UFUNDI
Klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL) zinatakiwa kuwasilisha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) orodha ya watendaji wa mabenchi yao ya ufundi yakiongozwa na Kocha...
View Article*SASA AZAM KUCHEZA MICHUANO YA KAGAME
Azam FC ndiyo itakayoiwakilisha Tanzania Bara kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) iliyopangwa kuanza Agosti 8 mwaka huu jijini Kigali, Rwanda.Shirikisho la Mpira...
View Article*BENKI YA POSTA YADHAMINI KLABU YA WAANDISHI, TASWA SC
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Moses Manyata (wa kwanza kushoto) akikabidhi mfano wa hundi kwa mwenyekiti wa Taswa SC, Majuto Omary (wa kwanza kulia) ikiwa ni sehemu ya...
View Article*UGENI WA BENKI YA MAENDELEO YA CHINA WATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Uchina, Bw. Jiang Zhigang (Katikati) akisisitiza jambo wakati walipokuwa na mazungumzo na Uongozi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Kushoto ni Mtafiti Kutoka ‘State...
View Article*LHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa...
View Article*WANANCHI WAFURIKA BANDA LA MAMLAKA YA HALI YA HEWA KATIKA MAONESHO YA...
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Dodoma waliofika katika maonesho ya Nanenane wakimsikiliza kwa makini Afisa Uhusiano na Masoko wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Monica Mutoni wakati alipokuwa...
View Article*CECAFA- KAGAME CUP 2014 TEAM FIXTURE LIST, YOUNG AFRICANS OUT
CECAFA- KAGAME CUP 2014Venue: Kigali, RwandaDates: Friday 8th August– 24th August 2014Team Fixture ListGroup ‘A’Group ‘B’Group ‘C’Rayon Sport [Rwanda]APR [Rwanda]Vital’O [Burundi]Azam [Tanzania]KCCA...
View Article*RAIS KIKWETE KATIKA MKUTNAO WA WAKUU WA NCHI ZA BARA LA AFRIKA,JIJINI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Rais Barak Obama wa Marekani kwenye ukumbi wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya uenyekiti...
View Article*MAZISHI YA ANDREA DUMA BABA WA MWANDISHI WA HABARI WA MOblog SINGIDA
Jeneza lililobeba mwili wa mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Ihanja wilaya ya Ikungi, Andrew Duma (92).Katibu mkuu wa makanisa ya Free Pentekoste nchini,Elias Shija, akihubiri...
View Article*MZIGO MPYA WA KITAA WEAR UMEINGIA
Available colors for T-Shirts are (Brown,Black,Red,Blue and White)Sizes Available ( Small, Medium,Large, Free Size, and Xtra Large)WASILIANA NASIWhatsApp / Viber: +255 754 310 202BBM CHAT:...
View Article*RAIS BUSH AMFAGILIA MAMA SALMA KIKWETE KWA JITIHADA ZA KUHAMASISHA WANAWAKE...
Na Anna Nkinda – Maelezo, WashingtonRais wa zamani wa Marekani George W. Bush amempongeza Mke wa Rais Mama Kikwete kutokana na kazi nzuri anayoifanya ya kuhamasisha jamii na wanawake kwa ujumla...
View Article