Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAMASHA LA MATUMAINI 2014 HAPATOSHI KESHO UWANJA WA TAIFA

SIKU iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa burudani mbalimbali imewadia ambapo kesho Agosti 8, katika Uwanja wa Taifa patakuwa hapatoshi wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini litakapokuwa...

View Article


*KONGAMANO LA KWANZA LA TANZANIA DIASPORA INITIATIVE KUFANYIKA AGOST 14 -...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NAPE AZUNGUMZIA MIDAHALO INAYOENDELEA, MSIKILIZE KATIKA VIDEO HAPO CHINI

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) na ambapo alisema kitendo cha Tume ya Katiba kukishambulia na kukisakama Chama Cha Mapinduzi haikuwa sawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA MFUMUKO WA BEI NCHINI.

 Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu na Makazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa mwezi Julai 2014 kwa waandishi wa habari leo jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA WA WAWEKEZAJI MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wa nchi za Jumuiya ya Mashariki, Mhe Paul Kagame wa Rwanda, Mhe Yoweri Museveni wa Uganda, Mhe Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mhe Pierre Nkurunzinza wa Burundi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAMASHA LA MATUMAINI LAZINDULIWA NA DKT. BILAL, WABUNGE WA YANGA WAWAADHIBU...

 Mshambuliaji wa timu ya Wabunge wa Yanga, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kushoto) akijiandaa kumfinya beki Wabunge wa Simba, Franky Tupa, wakati wa mtanange wao uliomalizika hivi punde kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAMASHA LA MATUMAINI MADA MAUGO ALIPA KISASI KWA MASHALI, CHOKORAA AMCHAPA...

 Mwanamuziki na Bondia, Khalid Chokoraa (kushoto) akichapana na mpinzani wake said Memba, wakati wa pambano lao la Raundi nne, lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini dar,usiku huu wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*DKT. BILAL AHITIMISHA KILELE CHA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo na Mbunge wa Kilwa Murtaza Mangungu, wakati walipokutana kwenye viwanja vya Ngongo katika maonesho ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*EPHRAHIM KIBONDE WA CLOUDS FM ALIPOATIWA KIBANO NA ASKARI WA USALAMA...

Mtangazani Mahiri wa Redio 88.5 Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi, Ephrahim Kibonde akipingana na Askari wa Usalama barabarani wakati alipotakiwa kutii sheria bila shurti,mapema asubuhi hii jijini...

View Article


*MAOFISA WA FIFA KUTUA NCHINI KESHO

Maofisa wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) wanawasili nchini kesho (Agosti 10 mwaka huu) kuangalia jinsi mchezo huo unavyoondeshwa nchini.Ujumbe huo wa FIFA utakaokuwa na maofisa sita,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MABONDIA MANENO OSWARD NA ABDALLA PAZI WAPIMA UZITO KUZIPIGA KESHO JUMAPILI...

Mabondia Maneno Osward (kushoto) akitunishiana misuli na Abdallah Pazi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ZESCO YATIBUA FURAHA YA WANASIMBA TAMASHA LA SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA LEO

 Beki wa timu ya zesco, Zimisileni Moyo (juu) akichuana na mshambuliaji wa simba, Oasainou Manneh, kuwania mpira wakati wa mchezo wa kirafiki katika Tamasha la Simba Day,lililofanyika leo kwenye uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV

 Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwasili kwenye kituo cha kupigia kura katika uchaguzi wa DMV unaoendelea sasa hivi Wheaton, Maryland nchini Marekani hapa mhe. Liberata Mulamula akilakiwa na mgombea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KIBONDE ASOTA RUPANGO BAADA YA KUTIWA NGUVUNI NA ASKAARI WA USALAMA BARABARANI

Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha Redio Clouds, akimkemea mmoja wa mtu aliyekuwa akimpiga picha wakati akiwa Lupango (Sero) baada ya kukamatwa na askari wa usalama barabarani, alipodaiwa kusababisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI JUU WALIOFADHILIWA NA TBL WAPATA MAVUNO YA KUTOSHA

 Mkulima (wa pili kulia) wa Shayiri katika mashamba ya Monduli Juu, wilayani Monduli mkoani Arusha akiendelea na uvunaji wa Shayiri kwa kutumia mashine ya kisasa ambapo wameweza kuvuna hadi gunia 1o...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA DIASPORA WA...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya chakula...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MITAALA KWA VYUO...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake  wakati akiwasili wa ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MISS ETHIOPIA NDIYE MISS AFRICA USA, JOY KALEMERA ASHIKA NAFASI YA NNE

Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SERENGETI FIESTA 2014 ILIVYOFUNIKA BOVU JIJINI MWANZA

 Staa wa  muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' (kushoto),  akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>