Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*NAPE AZUNGUMZIA MIDAHALO INAYOENDELEA, MSIKILIZE KATIKA VIDEO HAPO CHINI

$
0
0
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) na ambapo alisema kitendo cha Tume ya Katiba kukishambulia na kukisakama Chama Cha Mapinduzi haikuwa sawa na hakitovumilika, aliendelea kusema kuwa utaratibu huu wa baadhi ya wajumbe wa tume kumkejeli Mwenyekiti wa CCM Taifa hauvumiliki na haukubaliki hata kidogo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>