Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*FULL MKANDA MATUKIO KATIKA PICHA TAMASHA LA MATUMAINI, SOKA WABUNGE WA YANGA...

Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipiga mpira kama ishara ya uzinduzi rasmi wa tamasha la Matumaini lililofanyika Ijumaa ya wiki iliyopita Agosti 8, 2014...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WANASAYANSI...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wakati akifungua Kongamano la siku tatu la Kimataifa la Wanasayansi Vijana, linalojadili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KIBARUA CHA LOGARUSIC CHAOTA NYASI, SIMBA WATAJA SABABU ZA KUMTIMUA

KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam, imevunja rasmi mkataba na kocha wake, Zdravko Logarusic, ikiwa ni siku moja tu baada ya timu hiyo kutambulisha silaa zake mpya za usajili kwa msimu mpya wa ligi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LTD YASAINI MKATABA NA MZEE YUSUPH KUSAMBAZA...

Mzee Yusuph (Kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa filamu yake ya Kwanza iitwayo NITADUMU NAE ambapo filamu hiyo imeingia sokoni leo Jumatatu na inasambazwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YAKE WILAYANI UKEREWE MKOA WA...

 Mama Shujaa wa Chakula 2014  Bahati Muriga akitoa neno la Shukurani Baada ya Kukabidhiwa zawadi yake rasmi wakati wa hafla fupi iliyofanyika Wilaya ya Ukerewe, leo.Bahati Muriga akijaribisha kuiwasha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA UJERUMANI IKULU

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe,Egon Kochanke,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA KISIMA CHA MAJI, LAMBO KATIKA KIJIJI CHA JAMII YA...

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAREMBO WA SHINDANO LA MISS TEMEKE WAJIFUA VILIVYO RIO GYM & SPA EXTRA

 Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakifanya mazoezi ya viungo katika ukumbi wa mazoezi wa Rio Gym & Spa Extra Jengo la Golden Jubilee, Dar es Salaam. Mashindano hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MANENO OSWARD ADUNDWA KWA KO NA ABDALLAH PAZI

Bondia chipukizi, Abdalah Pazi 'Dullah Mbabe' (kulia) akimshambulia mpinzani wake, Maneno Osward (Mtambo wa Gongo) wakati wa pambano lao la kirafiki lisilo la ubingwa lililofanyika katika Ukumbi wa CCM...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MEMBE NA NAPE WAHANI MISIBA YA WALIOPATWA NA AJALI MTAMA NA KUTEMBELEA MAJERUHI

Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAMKO RASMI LA KAMATI YA UCHAGUZI KWA WANA DMV-MATOKEO

RAIS- Iddy Sandaly“Kwa wana DMV: Inaelekea kumebaki na sintofahamu au tafsiri fulani kuhusu matokeo ya uchaguzi wa DMV 2014 kufuatia takwimu za kura tulizotoa na kuwasilisha kwa bodi ya DMV. Tamko hili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SERIKALI WILAYANI NGORONGORO YATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA REDIO ZA KIJAMII

Wanakikundi cha ngoma na wakazi wa kata ya Ololosokwani wakiangalia taarifa mbalimbali za mitandao kwenye “Tablet” inayotengenezwa na kampuni ya Samsung wakati wa ziara hiyo.Mkuu wa wilaya ya...

View Article

*ENJOY NA MAZINGAOMBWE YA MZUNGU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*DERVA WA BASI LA WACHEZAJI WA YANGA AFARIKI DUNIA

Dereva wa basi la wachezaji wa timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam, Maulid Kiula, (pichani) amefariki dunia leo alfajiri huko maeneo ya Ilala.Taratibu za maziko zinaendelea kufanyika nyumbani kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BI VAILET MKAZI WA MTANANA WILAYANI KONGWA AOMBA MSAADA WA KUFANYIWA UPASUAJI

Na John Banda,Kongwa.Bi Vailet Sekwao (40) mkazi wa kijiji cha Mtanana Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma, anaomba msaada wa kifedha kiasi cha shilingi million mbili (2) ili aweze kufanyiwa upasuaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KIKAO CHA MKAKATI WA UJENZI WA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI ZA KUDUMU KATA...

 Naibu Meya Manispaa ya Kinondon,Songoro Mnyonge (katikati), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), Agosti 12, 2014 jijini Dar es Salaam mara bara baada ya kufungua kikao kilichowakutanisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MABADILIKO MAPYA TA UONGOZI WA KLABU YA COASTAL UNION HAYATAMBULIWI NA TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) halitambui mabadiliko ya uongozi ndani ya Coastal Union yanayodaiwa kufanywa na mkutano wa wanachama wa klabu hiyo uliofanyika hivi karibuni.Uongozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BREAKING NEEEEEWZ MSIKITI WA MTAMBANI WAWAKA MOTO

Msikiti wa Mtambani uliopo maeneo ya Kinondoni B, umewqka moto jioni ya leo ambapo hadi sasa chanzo cha moto huo hakijaweza kufahamika.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA VYUO VIKUU MJINI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano wa Sita wa Vyuo Vikuu uliofanyika jana Agost 12-2014 katika Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MSIKITI WA MTAMBANI BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO JANA, NA MATUKIO KATIKA...

Msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni B jijini Dar es Salaam unavyoonekana baada ya kuteketea kwa moto jana majira ya jioni, ambapo zoezi la kuzima moto huo lilifanikishwa na wakazi wa maeneo hayo...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>