$ 0 0 Msikiti wa Mtambani uliopo maeneo ya Kinondoni B, umewqka moto jioni ya leo ambapo hadi sasa chanzo cha moto huo hakijaweza kufahamika.