*WANANCHI WAFANYA MAANDAMANO NA KUUA MBWA WALIOMUUA MWANAFUNZI NA KUMLA NYAMA.
WANANCHI WAFANYA MAANDAMANO NA KUUA MBWA WALIOMUUA MWANAFUNZI NA KUMLA NYAMA.. Waitaka serikali kumuondoa OCD kwa kushindwa kulinda raia na mali zao.DC aagiza hatua za kisheria zichukuliwe kwa...
View Article*MWALIKO: MH. RAIS KUFUNGUA KONGAMANO LA WATU WAISHIO NJE YA NCHI
BRIEF ON THE OCCASION OF THE FIRST DIASPORA HOMECOMING CONFERENCE TO BE HELD IN DAR ES SALAAM, 14 TO 15 AUGUST, 20141.0 INTRODUCTION1.1 The Tanzania Diaspora Initiative (TDI) will conduct...
View Article*SERIKALI YATAKIWA KUTIMIZA AHADI ZA UJENZI WA ZAHANATI KWA KILA KATA
Nyumba ya Daktari Mstaafu aliyekuwa akitoa huduma katika zahanati ya Sero zaidi ya miaka 25 kama inavyoonekana ikiwa na Umeme wa jua pamoja na Dish ikiwa ni maendeleo katika eneo hilo lililopo karibu...
View Article*MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI...
Bw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini...
View Article*MADALALI WA MAHAKAMA WAKAMATA BASI LA TFF
Basi la Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekamatwa na madalali kwa amri ya mahakama kutokana na deni la sh milioni 140 ambalo tunadaiwa hadi litakapolipwa.Amri hiyo imetokana na deni hilo...
View Article*MH. LOWASSA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na...
View Article*UKAWA WAOMBWA KUREJEA BUNGENI KUKAMILISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Na Rose Masaka-MAELEZOUKAWA waombwa kukubali maoni ya watanzania walio wengi ya kuheshimu pesa za walipa kodi kwa kurudi bungeni na kupingana kwa hoja kwani hoja zao zikiwa za huakika hazitapingwa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI UTOAJI TUZO WA WANASAYANSI WACHANGA WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo kwa Wanasayansi wachanga kutoka shule mbalimbali za Sekondari za Tanzania,...
View Article*SOMA HAPA ALICHOKISEMA MCHANGE HABIB KUHUSU MBOWE, SLAA NA CHADEMA
PRESS RELEASETAARIFA YA NDUGU HABIBU MCHANGE KUHUSU KUHUSISHWA NA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WENGINE ILI KULIPUA HELKOPTA YA SLAA NA MNYIKA ILIYOTOLEWA NA CHADEMA NA MASWALA MENGINETAREHE.14.08.2014....
View Article*RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa kwanza wa Diaspora katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Agosti 14, 2014 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua tovuti rasmi...
View Article*MAXIMO AENDELEA KUWAFUA WACHEZAJI WA YANGA UFUKWENI DAR
Wachezaji wa timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, wakiwa katika mazoezi ya pamoja chini ya Kocha wao mpya Marcio Maximo, kwenye Ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Aga khan, iki ni sehemu ya kujiandaa...
View Article*WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASISITIZA UMUHIMU WA ARDHI KATIKA UWEKEZAJI
Na Eleuteri Mangi- MAELEZOWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda amewatoa Watanzania hofu kuhusu suala la wageni kumiliki ardhi nchini.Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jana...
View Article*TIMU 12 ZA MAVETERANI KUUMANA KATIKA TAMASHA LA MIAKA 16 YA 'HOME GYM'...
Na Mwandishi Wetu, DarKLABU 12 za timu za soka za maveterani zinazooundwa na nyota wa zamani wa kandanda nchini zinatarajiwa kuchuana katika michezo maalum ya Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym,...
View Article*MEDIA ADVISORY: Youth DAy commemoration at UDSM 16th August 2014
MEDIA ADVISORYInvitation and Request for CoverageDar es Salaam, Friday 15 August 2014- The International Youth Day is celebrated on 12th August of every year. This year the theme is “Youth and Mental...
View Article*DECEASED TANZANIA PEACEKEEPERS
On 13 August 2014 in Goma, North Kivu, MONUSCO carried out the repatriation of the mortal remains of three Tanzanian peacekeepers who lost their lives on a road accident in Masisi territory. Photo...
View Article*RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI 20 WAPYA WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA IKULU...
Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014 Rais jakaya Mrisho...
View Article*MAZIKO YA ALIYEKUWA MKE WA IDRISA ABDULWAKIL
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais Idrisa Abdulwakil (awamu ya...
View Article*IN MEMORY OF JUDGE RAPHAEL .B. MAGANGA DIED 16 AUGUST 1986
Dad, it is now 28 years that you departed from us too sudden without bidding farewell to anyone. Since that fateful and dreadful Saturday 16thof August 1986 when you answered God’s call peacefully, a...
View Article*MAZOEZI YA WAREMBO WA SHINDANO LA MISS TEMEKE YAPAMBA MOTO
Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakipozi wakati wa mazoezi katika Klabu ya TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam. Mashindano yatafanyika kwenye klabu hiyo, Agosti 22,mwaka...
View Article