RAIS- Iddy Sandaly
“Kwa wana DMV: Inaelekea kumebaki na sintofahamu au tafsiri fulani kuhusu matokeo ya uchaguzi wa DMV 2014 kufuatia takwimu za kura tulizotoa na kuwasilisha kwa bodi ya DMV. Tamko hili linaweka wazi mshindi katika kila nafasi iliyogombaniwa. Hivyo kwa mujibu wa matokeo ya kura na wa katiba, wafuatao ndiyo viongozi wapya wa jumuia yetu kwa miaka miwili ijayo:

MAKAMU WA RAIS - Harriet Shangarai
KATIBU- Saidi Mwamende

MAKAMU WA KATIBU- Bernadetta Kaiza
MWEKA HAZINA- Jasmine Rubama
Tamko hili pia limefikisha Kamati ya Uchaguzi wa 2014 kwenye tamati yake.
Mungu ibariki DMV, na adumishe mshikamano imara wa Watanzania.”
Safari Ohumay
Mwenyekiti