Bondia chipukizi, Abdalah Pazi 'Dullah Mbabe' (kulia) akimshambulia mpinzani wake, Maneno Osward (Mtambo wa Gongo) wakati wa pambano lao la kirafiki lisilo la ubingwa lililofanyika katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Abdalah Pazi alishinda kwa K.O.