Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiingia ndani ya Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma Kuanza ngwe ya pili ya mjadala baada ya kuahirishwa Tarehe 25 April 2014 kulipisha Bunge na Bajeti na Baraza la Wawakilishi Zanzibar.