TIMU YA TAIFA YA TANZANIA, TAIFA STARS, LEO IMEHITIMISHA MBIO ZAKE ZA SAFARI YA KUELEKEA MOROCO MWAKANI BAADA YA KUKUBARI KIPIGO CHA MABAO 2-1 DHIDI YA MSUMBIJI KATIKA MCHEZO ULIOPIGWA MAOUTO MSUMBIJI, JIONI YA LEO. BAO LA STARS, LILIFUNGWA NA MBWANA SAMATTA, ALIYEUNGANISHA MPIRA WA KROSI.
↧