Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*ASKARI FEKI WA USALAMA BARABARANI MWINGINE ANASWA CHAMAZI JIJINI DAR LEO

$
0
0
 Askari feki wa Usalama Barabarani ambaye Jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama barabarani huku akifahamu kuwa ni kosa kisheria. Inasemekana Mtuhumiwa aliwahi kuwa askari wa Usalama barabarani ambapo kituo chake cha Kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na ni mmoja kati ya askari waliofukuzwa kazi kwa kutenda makosa yasiyoendana na sheria ya kazi yake na taratibu na sheria za Jeshi la Polisi Tanzania
 Askari Polisi ambaye jina lake halikufahamika mara moja (Mwenye sweta) akimkamata kwa makini mtuhumiwa aliyejifanya askari wa usalama barabarani leo katika eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam.
Askari feki akishangaa na kuduwaa mara baada ya jeshi la Polisi Kumtia nguvuni leo Katika Eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam Mapema leo. Picha Kwa Hisani ya Mdau.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>