Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA JANA.

$
0
0
 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge hilo, mara baada ya kumaliza semina mchana 29 Agosti, 2014 Mjini Dodoma.
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akisalimiana na baadhi ya Wajumbe wa Bunge hilo leo mara baada ya kumaliza semina mchana29 Agosti, 2014 Mjini Dodoma.

 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoka ndani ya Bunge akiwa amefuatana na Mjumbe mwingine wa Bunge hilo mara baada ya kumaliza semina mchana 29 Agosti, 2014 Mjini Dodoma.
 Baadhi ya Wajumbe mbalimbali wa Bunge Maalum la Katiba wakitoka nje ya Bunge hilo mara baada ya kumaliza semina mchana 29 Agosti, 2014 Mjini Dodoma.

Mwakilishi wa Watanzania (Diaspora) waishio nchini Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Kadari Singo akifanya mahojiano na baadhi ya Waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza semina mchana 29 Agosti, 2014 Mjini Dodoma. 
Baadhi ya Wajumbe mbalimbali wa Bunge Maalum la Katiba wakitoka nje ya Bunge hilo mara baada ya kumaliza semina mchana 29 Agosti, 2014 Mjini Dodoma. Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>