*BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM.
 Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda (kushoto) akiwa na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Margaret Zziwa wakati wa ufunguzi wa vikao vya bunge hilo kwenye ukumbi wa Karimjee jijini...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NGONGO MKOANI LINDI
 Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete akiangalia kinu cha kusindika unga wa mhogo kinachomilikiwa na Tawi la Mkumbara katika Kata ya...
View Article*BREAKING NEEEEEWZ!!!!! MKURUGENZI WA TBS AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU...
Aaliye kuwa Mkurugenzi wa Shirika la viwango Tanzania TBS Bw Charles Hekelege, ametiwa hatiani na kufungwa miaka mitatu jela baada ya kukutwa na kosa la kuhujumu uchumi. Hekelege amefungwa jumla ya...
View Article*MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA, SAMUEL SITA AVITAKA VYOMBO VYA HABARI...
 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba. Baadhi ya waandishi wa Habari...
View Article*KAMPUNI YA BIOLANDS YAKABIDHI MSAADA WA GARI LA WAGONJWA KWA HALMASHAURI YA...
Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mh. Magreth Ester Malenga akiwasha Gari la wagonjwa Gari la Kubebea wagonjwa likiwa linaingia kwa ajili ya Makabidhiano. Meneja Mkuu msaidizi wa Biolands (Kulia) akimkabidhi...
View Article*VIJANA WAPEWA CHANGAMOTO YA KUTUMIA UZAZI WA MPANGO
 Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Sabasaba wakipata maelezo kuhusu afya ya uzazi wa mpango kutoka kwa waelimisharika wa UMATI walipokuwa katika Jamvi la Vijana lilioshirikisha Kikundi cha Vijana cha Benki...
View Article*4TH ANNIVERSARY OF VIJIMAMBO BLOG, PROMOTING TANZANIA TOURISM EXPO IN THE USA
Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea...
View Article*BINTI APOTEZA MAISHA ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE AFUNGE NDOA
 Binti ambaye hakuweza kufahamika jina lake kwa haraka (pichani chini), ambaye alikuwa afunge ndoa na mchumba wake hivi karibuni,  amepata ajali na kufariki dunia akiwa na 'mchepuko'.Aidha imeelezwa...
View Article*SAUTISOL, YAMOTO BAND, SKYLIGHT BAND NA WENGINE KIBAO KUPAMBA BEAUTY & MUSIC...
LIPALA DANCE Itachezeka kisawa sawa hapo kesho!Tiketi zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo
View Article*KAMPUNI YA MATANGAZO YANAYOTEMBEA (TRIA) YAZINDULIWA RASMI NCHINI TANZANIA
DIANA LAVENDER Meneja Mauzo na Masoko kampuni ya CONICA MINOLTA akisoma risala yake wakati wa uzinduzi wa matangazo hayo.TRUSHAR KHETIA Mkurugenzi mtendaji wa TRIA akikata utepe wakati akizindua rasmi...
View Article*KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA JANA.
 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge...
View Article*UFUNGUZI WA KONGAMANO LA KUPATA MAONI YA WADAU KUHUSU RASIMU YA SERA YA...
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akifungua kongamano la siku moja la kupata maoni ya wadau  kuhusu rasimu ya sera ya Petroli linalofanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo Hoteli ya New Africa...
View Article*WATU KUMI WAFARIKI DUNIA NA MAJERUHI SABA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA...
Hivi ndivyo ambavyo Daladala hiyo ilivyojibamiza muda mchache uliopita Eneo hili la ubavuni ndipo eneo ambalo Daladala hiyo iliingia na Kujigonga Gari hilo aina ya Tata likiwa limepaki pembeni Muda...
View Article*RAIS KIKWETE AZIAGIZA HALMASHAURI KUNUNUA NYUMBA ZA NHC
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma. (Picha zote kwa hisani ya...
View Article*RAIS WA ZANZNIABRA DKT. SHEIN AONDOKA KUELEKEA VISIWA VYA SAMOA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwana wa  Ndege wa Kimataia wa Abeid Amani Karume akielekea katika    Visiwa vya Samoa...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA (TCD) IKULU...
 Rais Kikwete akiagana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania baada ya kukutana nao Ikulu Ndogo Mjini Dodoma leo.Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu...
View Article*WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI...
 Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Mhe. Margareth Ziwa akipanda mti katika eneo la Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa) jana wakati wa ziara ya Wabunge wa Jumuiya ya...
View Article*HMKOA WA KAGERA WACHUKUA TAHADHARI DHIDI UGONJWA WA EBOLA
 Kizuizi cha magari katika mpaka wa Kabanga unaotenganisha Tanzania na Burundi, Wilayani Ngara. Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabian Massawe akitoa ufafanuzi namna Serikali livyojipanga...
View Article*MTEMVU: CCM ITAUPUKUTISHA UPINZANI TEMEKE UCHAGUZI WA MITAA, NI KWA MATUNDA...
Na Bashir NkoromoMbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu ametamba kuwa, CCM itapukutisha kwa kishindo upinzani wote katika jimbo hilo kwa kushinda mitaa yote katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka...
View Article*SOUTHERN AFRICAN FASHION SHOW YAFANYIKA KWA KISHINDO
Washereheshaji wakifanya vitu vyao kwenye usiku wa onesho la mavazi kutoka kwa wanamitindo na wabunifu mbalimbali kutoka nchi kusini mwa Afrika wakiwemo wabunifu wawili Watanzania waliopendezesha...
View Article