Kikosi cha kwanza cha timu ya Yanga.
Kikosi cha kwanza cha timu ya Thika United ya Kenya.
Kocha mkuu wa Yanga Marcio Maximo, akielekezana jambo na walimu wenzake wakati wa mchezo huo wa kirafiki kati ya Yanga ya jijini Dar es Salaam na Thika United ya jijini Nairobi. Hivi sasa ni kipindi cha pili bado matokeo ni 0-0.
Kipa wa Thika akiokoa moja ya hatari langoni kwake.
Coutihno, akidhibitiwa na mabeki wa Thika.