*SERIKALI YABAINI KILOGRAM 6,428.12 ZA DAWA ZA KULEVYA MWAKA 2013
Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi ya Makosa ya Jinai na Vinasaba kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bi.Gloria Omari akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo pichani) kuhusu Hali ya Dawa za Kulevya kwa...
View Article*TANZANIA KUONGOZA NCHI ZA AFRIKA KATIKA MABORESHO YA UTOAJI HAKI ZA...
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kisheria kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Nabor Assey akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu utekelezaji wa Miongozo ya Luanda...
View Article*RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa...
View Article*UMOJA WA AZAKI ZA VIJANA WAKUTANA NA MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na Umoja Azaki za Vijana wakati alipofanya mkutano nao wakati wakiwasilisha mapendekezo ya maboresho ikiwa ni msisitizo katika masuala...
View Article*MSANII LADY JAY DEE AUNGANA NA MARIE STOPES TANZANIA KATIKA KAMPENI YA UZAZI...
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marie Stopes Tanzania (MST), Uller Muller (kulia) akikabidhi kisanduku chenye vifaa vinavyohusika na masuala ya uzazi wa mpango kwa Balozi mpya wa Marie Stopes ambaye...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA MKURUGRNZI MTENDAJI WA ICT
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Kibiashara cha Kimataifa Internationali Trade Center ICT Bibi Arancha...
View Article*AYSHA CHEYO NDIYE MISS TANZANIA USA PAGEANT 2014
Miss Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Baada ya kunyakua taji hilo kwenye mashindano ya umiss...
View Article*MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA MPYA MJINI DODOMA LEO
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma. Mjumbe Ummy Mwalimu akiendelea kuwasilisha taarifa za...
View Article*MKONGO WA TAIFA WASAIDIA KUSHUKA KWA GHARAMA ZA MAWASILIANO NCHINI
Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi. Prisca Ulomi akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya mkongo wa Taifa ikiwamo kusaidia kushuka kwa gharama za...
View Article*NHIF KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini,...
View Article*WANAOANZA KUKIMBIZA VIKOSI VYA YANGA NA THIKA UNT MCHEZO WA KIRAFIKI UWANJA...
Yanga SC; DeoMunishi ‘Dida’, Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, MbuyuTwite, Hassan Dilunga, Haruna Niyonzima, Genilson Santana ‘Jaja’, Andery Coutinho na Simon...
View Article*BADO SI COUTINHO, JAJA WALA THIKA UWANJA WA TAIFA
Kikosi cha kwanza cha timu ya Yanga. Kikosi cha kwanza cha timu ya Thika United ya Kenya.Kocha mkuu wa Yanga Marcio Maximo, akielekezana jambo na walimu wenzake wakati wa mchezo huo wa kirafiki kati...
View Article*JAJAAAAAAA!!!!!, GENILSON SANTOS AANZA KWA KUIBEBA YANGA NA BAO MOJA
Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santos 'Jaja' akishangilia bao lake aliloifungia timu yake katika dakika ya 58, kufuatia krosi nzuri iliyopigwa na Simon Msuva, wakati wa mchezo wa kimataifa wa...
View Article*FULL MKANDA MATUKIO KATIKA PICHA MCHEZO WA YANGA NA THIKA, COUTINHO NOUMER...
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Haruna Niyonzima (kulia), akimfinya beki wa timu Thika ya Kenya, Michael Luvutsi, wakati wa mcheo wa kirafiki wa timu hizo uliochezwa jana...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA BIBI YAKE RAIS OBAMA WA MAREKANI,JIJINI NAIROBI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete...
View Article*MADUKA YA KARIAKOO BADO NI MGOMO MENGINE NI KAMA KAWAIDA, VURUGU KUBWA...
Katika Mtaa huu unaotoka Sokoni Kariakoo kupanda hadi Mtaa wa Mchikichi hivi ndivyo unavyoonekana siku ya leo asubuhi majira ya saa nne ukiwa kimya hauna msongamano wa watu na magari kama...
View Article*AAAAAAGH, NJAA INAUMAA!!!!, HALI NGUMU
Ngedele akipiga miayo kuashiria hali ya tumbo si shwari, yaani njaa inamuuma..... Njaa ukijumlisha na mawazo aisee ni balaa tupu, hapa sasa ndipo yanakuja maamuzi magumu ili kupata ufumbuzi wa njaa......
View Article*TASWA FC ILIVYO LAZIMISHWA SARE NA WAHENGA VETERANS MWISHONI MWA WIKI
Mshambuliaji wa timu ya Taswa Fc, Amani Kinyuki ambaye pia ni mfungaji wa bao la kwanza kati ya matatu, (kushoto) akimfinya beki wa Wahenga Veterans, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa mwishoni...
View Article*JICHO LA KAMERA YA SUFIANIMAFOTO MTAANI
Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mapema akiwa amejitwisha mzigo mzito kuzidi uwezo wake huku akikatiza mitaa ya Keko kama alivyonaswa na Jicho la Kamera ya Sufianimafoto. Ujenzi wa Barabara...
View Article