Ngedele akipiga miayo kuashiria hali ya tumbo si shwari, yaani njaa inamuuma.....
Njaa ukijumlisha na mawazo aisee ni balaa tupu, hapa sasa ndipo yanakuja maamuzi magumu ili kupata ufumbuzi wa njaa...
Baada ya miayo kadhaa aliamua kusaka msosi kwa njia yeyote, hapa akielekea kuwapiga chabo kina mama waliokuwa wakiuza matunda chini ya ukuta aliokuwapo...
Hapa alianza kuwapiga chabo kwanza kama wanahabari naye 'Sijui wananiona????' ,
''Wakizubaa tu wamekwisha''.......