Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mapema akiwa amejitwisha mzigo mzito kuzidi uwezo wake huku akikatiza mitaa ya Keko kama alivyonaswa na Jicho la Kamera ya Sufianimafoto.
Ujenzi wa Barabara za jijini unaendelea kwa kasi, hapa ni eneo la Morocco mafundi wakiendelea kusuka nondo ili kutandika zege katika barabara ya mabasi yaendayo kasi.
Maneno ya mtaani .....