Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mjini London ambapo walizungumza masuala mbali mbali yakiwemo ya Uchumi,Siasa pamoja na Diaspora.
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe akipiga picha na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mjini London baada ya kumaliza mazungumzo
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe akipiga picha na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mjini London baada ya kumaliza mazungumzo.