*UZINDUZI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI
Kivuko cha Mv Kigamboni kinavyoonekana kwa ndani, kinatarajiwa kuanza kutumika siku ya alhamisi baada ya matengenezo yalifanywa na Jeshi la Wanamaji kwa mda wa wiki tatu tangu kilipoaacha kufanya...
View Article*NAPE AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA - UINGEREZA
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mjini London ambapo...
View Article*RATIBA YA TUME YA RAIS YA UCHUNGUZI WA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI...
TAARIFA KWA UMMARATIBA YA TUME YA RAIS YA UCHUNGUZI WA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI KUTEMBELEA MIKOA YA KIGOMA, KATAVI, RUKWA NA MBEYATume inatoa taarifa kwa Umma kuwa itatembelea Mikoa ya Kigoma,...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA KIONGOZI MKUU WA MABOHORA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na kiongozi Mkuu wa Mabohora His Holiness Syedna Mufaddal Saifuddin ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho...
View Article*WAJAWAZITO WAKIJIFUNGUA KATIKA MAZINGIRA SALAMA VIFO VYAO VITAPUNGUA - SALMA...
Na Anna Nkinda – MaelezoIli kuhakikisha vifo vya kina mama wajawazito vinapungua ni lazima wajifungue katika mazingira salama huku kukiwa na upatikanaji wa kutosha wa vifaa tiba.Hayo yamesemwa jana na...
View Article*MBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI...
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr Wiliam Mgimwa kwa viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya...
View Article*BAADHI YA WAJUMBE WATAKA SUALA LA RUSHWA LIINGIZWE KATIKA KATIBA MPYA
Na Magreth Kinabo, DodomaMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Profesa Mark Mwandosya amependekeza kwamba suala la rushwa litambuliwe Katiba Mpya, inayopendekezwa ili kuweza kuongeza nguvu ya...
View Article*RAIS WA UGANDA YOWERI KAGUTA MUSEVEN AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya...
View Article*WASANII KASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL NA AJ UBAO KUNOGESHA TAMASHA LA UTALII...
Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel kunogesha tamasha la utalii siku ya Jumamosi Sept 13, 2014Msanii wa Bongo flava Kassim mganga nae kuwepo.AJ UbaoVijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi...
View Article*BUNGE MAALUM LA KATIBA LAENDELEA NA MJADALA WA RASIMU YA KATIBA MJINI DODOMA...
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba...
View Article*BREAKING NEEEEWZZ!!!! AJALI NYINGINE YA BASI YAUA WAWILI HUKO SONGEA
HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA AJALI NYINGINE YA BASI LA ABIRIA LA SUPER, ILIYOTOKEA MCHANA HUU HUKO MAENEO YA BARABARA YA SONGEA -MBEYA, IMEUA WATU WAWILI NA KUJERUHI WENGINE...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA BARAZA LA HABARO TANZANIA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na viongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,...
View Article*LAUNCH OF CERTIFIED APPRENTICESHIP PROGRAM IN HOTEL OPERATION
Representatives from ILO, TUCTA, ATE and HAT in a group photo with the apprentices during the launch of the programme held in Dar es Salaam on 5TH AUGUST 2014.The launch was coupled with the signing of...
View Article*ASKOFU MTETEMELA ASISITIZA UMUHIMU WA MAADILI KWA TAIFA
Na Magreth Kinabo, DodomaMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Askofu Mstaafu, Donald Mtetemela , ambaye yuko katika Kamati Namba Nane ya Bunge, hilo amewashauri wajumbe wenzake kuwa suala la maadili na...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA MTAMBO WA 10,000 WA BIOGAS KITAIFA
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe huku akishirikiana na viongozi mbalimbali ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa mtambo wa wa 10,000 wa Biogas hapa nchini. Mtambo huo unaomilikiwa na Ndugu...
View Article*BIBI ALIYEJITENGENEZEA JENEZA KUPATA MSAADA WA WHEELCHAIR KUTOKA MAREKANI
Kuna msamalia mwema ametuma Wheelchair kwa Bibi aliyejitengenezea Jeneza kutokana na kuzidiwa na matatizo, Bi. Scholastica Mhagama (76) mwenye ulemavu wa viungo anayeishi pekee yake katika kibanda...
View Article*NAIBU WAZIRI WA AFYA AZINDUA MFUKO WA UBORESHAJI WA UPATIKANAJI WA DAWA NA...
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akiwahutubia wadau mbalimbali waliohudhuria sherehe ya Uzinduzi Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa...
View Article