HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA AJALI NYINGINE YA BASI LA ABIRIA LA SUPER, ILIYOTOKEA MCHANA HUU HUKO MAENEO YA BARABARA YA SONGEA -MBEYA, IMEUA WATU WAWILI NA KUJERUHI WENGINE KADHAA. SHUHUDA WA AJALI HIYO AMEELEZA KUWA BASI HILI LILIACHA NJIA WAKATI DEREVE AKIJARIBU KUMKWEPA KIJANA ALIYEKUWA AKIENDESHA BAISKELI NA KUPINDUKA. MAJERUHI WA AJALI HIYO WANAENDELEA KUFIKISHWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA SONGEA.
↧