Bondia Said Yazidu (kushoto) akipigwa ngumi na Djamal Dahou wa Algelia, wakati wa pambano lao Dahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza ya mpambano huo.
![]() |
Bondia Elick Mwenda (kushoto) wa Malawi akipigwa ngumi wakati wa pambano lao na bondia Allybaba Ramadhani uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, Mkoani Kilimanjaro. Katika pambano hilo, Allybaba alishinda kwa pointi. |