*AFRIKA INAPOTEZA AKINAMAMA 2 NA WATOTO WACHANGA 20 KILA BAADA YA SAA MOJA...
World Sepsis Day and MamaYe bring you evidence, infographics and blogs on sepsis.Read on and then take action!Sepsis is caused by a severe infection which leads to blood poisoning and organ damage. In...
View Article*WAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI, KANDA YA ZIWA WAENDESHA GARI...
Na Father Kidevu Wanyange 30 wanao wanbia taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es...
View Article*NSSF YADHAMINI PAMBANO LA SIMBA IKIBANWA MBAVU NA NDANDA FC
Wachezaji wa Simba na Ndanda FC wakiingia Uwanjani wakati wa mchezo wa maalum wa kusherehekea Ndanda Day uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara na kudhaminiwa na Shirika la...
View Article*SAID YAZIDU APIGWA KWA K/O RAUNDI YA KWANZA HUKO MOSHI
Bondia Said Yazidu (kushoto) akipigwa ngumi na Djamal Dahou wa Algelia, wakati wa pambano lao Dahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza ya mpambano huo.Bondia Djamal Dahou wa Algelia (kushoto)...
View Article*ZIARA YA KINANA MKURANGA JANA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akichanaganya udongo huku Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisubiri kubeba, waliposhiriki kwenye ujenzi maabara ya shule ya sekondari Mwalusembe,...
View Article*SERIKALI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII
Frank MvungiSerikali imedhamiria kuanza zoezi la kuhakiki vyama vya kijamii ili kuboresha huduma zinazotolewa na vyama hivyo hapa nchini tangu kuanzishwa kwake.Hayo ya mesemwa leo Jijini Dar es salaam...
View Article*TASWA FC SAFARINI IRINGA, ARUSHA, TANGA NA MTWARA
Yafuatayo ni majina yaliyotangazwa na bench la ufundi la timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa FC) ambayo itafanya ziara mkoani Iringa kuanzia Oktoba 3. Majina hayo yamepitishwa...
View Article*WANAOANZA KUKIMBIZA MECHI YA NGAO YA HISANI YANGA v/s AZAM UWANJA WA TAIFA
YANGA SC: - Deogratias Munishi, Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub (c), Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Said Juma, Haruna Niyonzima, Genilson Jaja, Mrisho Ngassa na Nizar KhalfanBENCHI LA AKIBA:- Juma...
View Article*JAJA AWANYAMAZISHA WANAOMBEZA, YANGA IKIILAMBISHA AZAM ICE CREAM 3-0
Jajaaaaaa, mshambuliaji wa Yanga, Jenilson Santos (jaja) akijikunja kupiga mpira wa krosi mbele ya beki wa Azam fc, Erasto Nyoni, wakati wa mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa...
View Article*FULL MKANDA MATUKIO KATIKA PICHA MECHI YA NGAO YA JAMII, YANGA v/s AZAM JANA
Wachezaji wa timu ya Yanga, wakiwa katika picha ya pamoja na Ngao yao baada ya kukabidhiwa jana katika mchezo wa Ngao ya Jamii, uliomalizika kwa Yanga kuichapa Azam Fc, mabao 3-0. Beki wa Azam Fc,...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AKUTANA NA MBUNGE SHIRIKISHO LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Mhe. Charles M. Huber (wa pili kushoto) ambaye ni Mbunge na Mjumbe wa Kamati ya Ushirikiano wa Uchumi na...
View Article*RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDANI YA KUSINI MHE SALVAR KIIR...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, jana amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani ya Kusini ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea, juzi Ikulu jijini Dar es salaam....
View Article*CANADIAN PRIME MINISTER STEPHEN HARPER AND AGA KHAN OPEN THE ISMAILI CENTRE...
PM Harper of Canada and HH the Aga Khan waving to crowds outside the Ismaili Centre, Toronto - AKDN / Zahur Ramji).*********************************************The Right Honourable Stephen Harper,...
View Article*WAREMBO WA SHINDANO LA MISS TANZANIA WAJIFUA GYM KUJIWEKA FITI
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi...
View Article*KINANA ASONONESHWA NA MIKOROSHO YA WAKULIMA ILIVYOKAUKA KWA UGONJWA...
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akionyeshwa mikorosho iliyokauka katika mashamba ya wakulima wa zao hilo katika kijiji cha Magawa katika wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, alipokagua adhari za...
View Article*ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA HEIFER INTERNATIONAL STEVE DENNE NCHINI
Mfugaji wa Heifer International Tanzania Abel Mwakatumbula na mkewe wakiwa na Makamu wa Rais wa shirika hilo.Steve Denne alitembelea Tanzania kwa mara kwanza wiki iliyopita kuona miradi inayoendeshwa...
View Article*MATUKIO KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea kuhudhuria kikao cha arobaini cha Bunge hilo. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ally Kessy (kulia) na...
View Article*WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJIMWAGIA MAJI BARIDI KUCHANGISHA FEDHA...
Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Flora Lupembe (kulia) akimwagiwa maji baridi na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Rukia Mtingwa katika hafla ya kumwagiana...
View Article*SIMBA CHAWENE AWATAKA WATANZANIA KUACHWA KUFANYA MAANDAMANO YA KUPINGA...
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Simba Chawene akichangia mada bungeni mjini Dodoma. Picha na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.*************************************Na Benedict Liwenga,...
View Article*SERIKALI YAENDELEA KUJENGA MAZINGIRA WEZESHI KWA AJILI YA MASHIRIKA YASIYO...
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Bw. Marcel Katemba akiongea na waandishi wa habari( Hawapo pichani)kuhusu juhudi...
View Article