Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*FULL MKANDA MATUKIO KATIKA PICHA MECHI YA NGAO YA JAMII, YANGA v/s AZAM JANA

$
0
0
 Wachezaji wa timu ya Yanga, wakiwa katika picha ya pamoja na Ngao yao baada ya kukabidhiwa jana katika mchezo wa Ngao ya Jamii, uliomalizika kwa Yanga kuichapa Azam Fc, mabao 3-0.
 Beki wa Azam Fc, Erasto Nyoni, akiruka kupiga mpira mbele ya winga wa Yanga, Mrisho Ngassa.
 Mrisho Ngassa, akijaribu kumiliki mpira mbele ya mabeki wa Azam.
 Haruna Niyonzima, akiambaa na mpira.....
 Simon Msuva (kulia) akimfinya beki wa Azam na kupiga krosi iliyozaa bao la kwanza lililofungwa na Jaja.
 Krosi ya bao la kwanza...
 Ubao wa matangazo....
 Kocha wa Azam, akiwa na wachezaji wake wakiwa hawana la kufanya wakipigwa na butwaa baada ya kipigo hicho.
 Kocha wa Yanga, akiwa katika furaha akishangilia na wachezaji wake baada ya kuichapa Azam.
 Mashabiki wa Yanga wakiwa na furaha ya ajabu..
 Raha ya mechi..... Baooooooo Yanga wakishangilia ushindi........
 Mashabiki wa Yanga......
 Kocha wa Yanga, Marcio Maximo, akiwaelekeza jambo wasaidizi wake kabla ya mchezo kuanza....
 Maximo hakuweza kukaa kwenye benchi mwanzo wa mchezo hadi mwisho....

Makocha wakisalimiana kabla ya mchezo...
 Wakitakiana mchezo mwema...
 Mashabiki wa Yanga....
 Mwadini Ali, akipangua mpira wa hatari...
 Ngassa, ......
 Ngassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 Ngassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....................
 Nizar Khalfan akimfinya Himid Mao....
 Nizar akijaribu kupenya katikati ya msitu wa mabeki wa Azam...
 Niyonzima akimtoka beki wa Azam.......
 Niyonzima akimkalisha beki wa Azam....
 Ngassa, akichuana kuwania mpira na beki wa Azam.....
 Jaja akiruka kuwania mpira na beki wa Azam, Agrey Morris....
 Dida, akikimbia kuuwahi mpira.....
 Shomari Kapombe, akiruka kujaribu kuuwahi mpira kuurudhisha uwanjani bila mafanikio....
 Niyonzimaaaaa....................
 Wakishangilia bao la tatu lililofungwa na Msuva......
 Maximo akisalimiana na mashabiki wa Yanga......
 Benchi la Azam Fc.....
 Benchi la Yanga....
 Kikosi cha Azama Fc.....
Kikosi cha Yanga,,,,,,

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>