Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC
Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
Cassim Mganga akipata picha nje ya mjengo mweupe wa Obama
Aunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama
Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga
Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga.
Aunt na Cassim wakiwa ubalozi wakisubiri kuonana na Balozi hii ndani ya jengo la ubalozi wa Tanzania New York City.
Mh. Balozi Manongi akishuudia Aunt Ezekiel akitia saini kwenye kitabu cha wageni ubalozini hapo.
Cassim Mganga nae alipata fursa ya kunguka saini yake kwenye kitabu hicho cha wageni
Deborah rafiki wa Aunt Ezekiel akiweka saini yake pia ubalozini
Aunt Ezekiel akipa ukodak na Mh. Balozi Tovako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York.
Cassim Mganga akipata ukodak na Mh. Balozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York.
Cassim na Aunt kwapamoja wakiwa pata ukodak na Mh. Balozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York.
Hapa ni Deborah nae kwenye ukodak na Mh. Balozi
Hapa ni mabalozi wote wakipata ukodak na wageni Mh. Balozi Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York. na Mh. Balozi Ramadhan Mwinyi Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York.
Noel Kaganda afisa ubalozi kushoto na kulia na Tuly afisa ubalozi pia wakipata ukodak.
Mh. Balozi Manongi akiwa kwenye chakula cha mchana wageni wake
Hapa ni Deborah, Aunt Ezekiel na Mh. Balozi kabla ya chakula kuletwa