*KASSIM MGANGA, AUNT EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNT ATIA SAINI KITABU...
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014. Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC...
View Article*HAPPY BIRTHDAY FATHER KIDEVU
JANA ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mpiganaji Mroki Mroki 'Father Kidevu' ambapo alikuwa akiadhimisha miaka kadhaa hapa duniani. Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndie ajauae...
View Article*BALOZI IDDI AWATIA MOYO WANANCHI WA DONGE MUNDA NA DONGE MCHANGANI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wananchi wa Donge Munda na Donge Mchangani mara baada ya kupokea changamoto zinazowakabili Wananchi hao. Baadhi ya Wananchi wa...
View Article*RAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 69 WA UMOJA WA MATAIFA
Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014. Kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib...
View Article*MSIKILIZE KINANA KATIKA VIDEO AKIWAASA VIONGOZI WA CCM MAFIA, AMALIZA ZIARA...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuashiria ishara ya kuweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi ya CCM wilaya ya Mafia. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa...
View Article*KIONGOZI MKUBWA WA CHADEMA KIBITI AJIUNGA NA CCM, SIKIA MAHAKA MPYA YA WAZI...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amekuja na aina mpya ya kuwakutanisha wananchi na viongozi wao kwenye mikutano yake ambapo amekuwa akitoa nafasi kwa wananchi kusema kero zao mbele ya...
View Article*WAREMBO WA SHINDANO LA MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA MIKUMI
Warembo wanaotarajia kushiriki katika shindano la Miss Tanzania 2014 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika hifadhi ya taifa Mikumi jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa...
View Article*TAMASHA LA UTALII NA MIAKA 4 YA BLOG YA VIJIMAMBO
Mhe. Lazoro Nyalandu Waziri wa Maliasili na Utalii akiingia ukumbini huku akiongozana na Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani kushoto ni Luke Joe ambaye ni mwendeshaji wa Blog ya...
View Article*TUME YA HAKI ZA BINADAMU KUSHIRIKI NA WADAU KULAANI MAUAJI YA WATU WENYE...
Meneja uendeshaji wa Under The Same Sun (UTSS), Bwana Gamariel Mboya akitoa maelezo mbele ya waandishi wa habari katika mkutano na waandishi hao uliofanyika leo katika Ofisi za Tume ya Haki za...
View Article*HAFLA YA KUKABIDHI MGAWO WA UDHAMINI AZAM TV NI KESHO
Azam TV- wadhamini wa matangazo ya televisheni kesho (Septemba 19, 2014) watakabidhi mgawo wa pili wa udhamini wao kwa klabu za Ligi Kuu. Hafla hiyo itafanyika katika ghorofa ya 21, Golden Jubilee...
View Article*WAKALA WA HUDUMA ZA AJIRA TANZANIA (TaESA) WAFANIKIWA KUTOA MAFUNZO KWA...
Afisa Habari wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) Bi. Jamila Mbaruku akiewaeleza waandishi wa Habari( hawapo pichani) kuhusu kuhusu mikakati ya wakala wa huduma za ajira kusaidia wananchi wa...
View Article*TUTUMIENI KWA MANUFAA YA TAIFA NA USTAWI WA UCHUMI WA NCHI-BARAZA LA USHINDANI
Mkuu wa Kitengo cha Masuala ya Uchumi wa Baraza la Ushindani (FCT) Bw. Nzinyangwa Mchany akiwaeleza waandishi wa Habari (Hawapo pichani)Kuhusu majukumu ya Baraza hilo na kutoa wito kwa wananchi...
View Article*FREEMAN MBOWE ARIPOTI MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO LEO
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe, akiwasili kwenye ofisi za Makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini, leo asubuhi kwa ajili ya kuhojiwa kuhusu kauli aliyoitoa kwenye...
View Article*MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMAJARO (KINAPA).
Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Tanzania 2014 wakipozi kwa picha wakati walipotembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima...
View Article*SERIKALI: MISHAHARA YA WATUMISHI WA UMMA KULIPWA KUPITIA AKAUNTI
Na Eleuteri Mangi-MAELEZOSerikali imeagiza watumishi wote wa umma walipwe mishahara moja kwa moja kupitia akaunti zao sahihi za benki ambazo zitatumika kupitishia mihahara yao.Kauli hiyo imetolewa na...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MPANGO WA UTAMBUZI WA UJUZI ULIOPATIKANA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kama ishala ya kuzindua rasmi mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa...
View Article*KINANA ALIPOUNGURUMA MANEROMANGO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, kwenye Uwanja Soko la Maneromango, wilayani Kisaarawe mkoa wa Pwani. Mamia ya wananchi...
View Article*PRESIDENT KIKWETE SPEAKS ON THE IMPORTANCE OF INTERFAITH DIALOGUE IN NEW YORK
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete delivers his keynote address during the American Jewish Community Global Interfaith Leadership Gala held in New York this evening.In his speech the President, among...
View Article