*TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA MABADILIKO YA...
Katika tamko hilo ambalo pia limewasilishwa kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Dr. Eng. Binilith Mahenge, mambo matano yamependekezwa kuzingatiwa wakati wa mkutano huo ambao Rais wa...
View Article*WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA WATAALAM WA UTAFITI WA HALI YA...
Naibu Waziri wa Fedha –Sera, Mhe. Mwigulu Nchemba akifungua mafunzo ya wiki tatu ya wakufunzi, wasimamizi na wadadisi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar watakaoendesha utafiti wa kufuatilia hali ya...
View Article*TAMASHA LA MAGARI KUFANYIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KINONDONI September, 27...
Afisa Fedha Mkuu wa Milembe Insurance Bw. Dioniz Diocles akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika...
View Article*YANGA YATAKIWA KUWASILISHA RASIMU YA KATIBA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeitaka klabu ya Yanga kuwasilisha rasimu ya Katiba waliyoipitisha, kwa kuzingatia kuwa Muhtasari wa kikao cha Mkutano Mkuu wao wa Juni 1 mwaka huu...
View Article*TANZANIA KUWA MWENYEJI WA TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI
Na Anitha Jonas - Maelezo, Dar es SalaamTANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa tamasha la sanaa na utamaduni litakaloandaliwa na Taasisi ya (TaSUBa) iliyopo Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kuanzia...
View Article*KUTOKA JAMHURI MOROGORO MUSSA HASSAN MGOSI ANAIPATIA MTIBWA BAO LA KUONGOZA
NI DAKIKA YA 15, MUSSA HAASAN MGOSI ANAIPATIA MTIBWA SUGAR BAO LA KUONGOZA, MTIBWA 1- YANGA 0
View Article*MRADI WA HPSS NA USWISI TUIMARISHE AFYA -WAPONGEZWA KWA KAZI NZURI
Mkuu wa Kanda ya Dodoma, ya Mradi wa Health Promotion and System Strengthening (HPSS) ambao pia unajulikana kama‘Tuimarishe Afya Project’, Prof. Manoris Meshack, akimkabodhi Ofisa Tawala Mkoa wa...
View Article*KUTOKA CHAMAZI DAR ES SALAAM, AZAM 2 POLISI 0, YANGA WAKOSA PENATI
HADI SASA KUTOKA CHAMAZI NI KIPINDI CHA PILI HUKU AZAM FC, WAKIONGOZA KWA MABAO 2-0 DHIDI YA POLISI. KUTOKA JAMHURI MJINI MOROGORO PIA NI KIPINDI CHA PILI, YANGA WAMEKOSA PENATI ILIYOPIGWA NA JAJA.
View Article*RAMBIRAMBI KUTOKA KWA WANA DIASPORA
Salam za rambi rambi Jumuia ya wazanzibari wanaoishi Nchi CANADA na waliowahishi katika nchi hiyo (ZACADIA wa Canada na Zanzibar) wanatoa mkono wa rambirambi kwa Rais wa...
View Article*KUTOKA JAMHURI MOROGORO MTIBWA WANAPATA BAO LA 2
DAKIKA YA 83 MTIBWA SUGAR WANAPATA BAO LA PILI, BAADA YA MSHAMBULIAJI WAKE KUWAPIGA CHENGA NA KUWAZIDI MBIO MABEKI WA YANGA.MTIBWA 2- YANGA 0
View Article*DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA,...
President Jakaya Kikwete chats with Former British Prime Minister Tony Blair at the Reagan Building in Wsshington DC after the President delivered a keynote speech at the USAID Frontiers in...
View Article*KINANA ATINGA KIHABA MJINI LEO, AKAGUA NA KUFUNGUA MIRADI YA MAENDELEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kuvyeka miti wakati wa uzinduzi wa kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM, ya mafunzo ya kilimo katika eneo la Boko Timiza, Kibaha mjini mkoa wa Pwani....
View Article*DAKIKA 90 ZIMEMALIZIKA JAMHURI YANGA APIGWA 2-0 NA MTIBWA, CHAMAZI AZAM FC...
DAKIKA 90 ZIMEMALIZIKA KUTOKA KATIKA VIWANJA VIWAILI, VYA JAMHURI MJINI MOROGORO, AMBAKO YANGA WAMEKUBALI KIPIGO CHA MABAO 2-0 DHIDI YA MTIBWA SUGAR, HUKU YANGA WAKIKOSA PENATI. NA KUTOKA UWANJA WA...
View Article*YANGA YAANZA KWA KICHAPO LIGI KUU, AZAM FC YACHANUA, MBEYA CITY YABANWA,...
TIMU ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, leo imeanza vibaya mechi yake ya kufungua dimba la pazia la Ligi Kuu msimu huu wa 2014-2015 kwa kukubari kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, katika mchezo...
View Article*RAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZWA KWA UONGOZI MZURI 'USIKU WA...
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA...
View Article*MISS TANZANIA WATOA MSAADA HOSPITALI YA KILEMA NA MARANGU MOSHI
Washiriki wa Shindano la Miss Tanzania 2014 walitoa misaada ya kijamii katika Hospitali za Misheni Kilema na ile ya K.K.K.T Marangu baada ya kutembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.Pokea zawadi.........
View Article*SIMBA WANAONGOZA BAO 1-0
Simba wanaongoza bao 1-0, lililofungwa na Shaban Kisiga. Sasa ni dakika ya 36 kipindi cha kwanza.
View Article*SIMBA WANAONGOZA BAO 2-0
Simba wanaongoza bao 1-0, lililofungwa na Shaban Kisiga. Bao la pili limetupiwa na Hamis Tambwe baada ya kazi nzuri ya Emmanuel Okwi.Sasa ni dakika ya 36 kipindi cha kwanza.
View Article*ENGLAND- PREMIER LEAGUE
FT Leicester City5 - 3 Manchester UnitedFT Tottenham Hotspur0 - 1 West Bromwich Albion23:00 Everton? - ? Crystal Palace23:00 Manchester City? - ? Chelsea
View Article