Azam TV- wadhamini wa matangazo ya televisheni kesho (Septemba 19, 2014) watakabidhi mgawo wa pili wa udhamini wao kwa klabu za Ligi Kuu. Hafla hiyo itafanyika katika ghorofa ya 21, Golden Jubilee Towers kuanzia saa 4-5 asubuhi.
Boniface Wambura
Mkurugenzi wa Mashindano
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)