Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*NMB YASHIRIKI FUTARI NA WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR

$
0
0
 Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akishukuru uongozi wa NMB kwa kuandaa wasaa mzuri na kushiriki katika kukamilisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, wakati wa hafla ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na Benki ya NMB tawi la Zanzibar  kwenye hoteli ya Zanzibar Ocean view mjini Zanzibar. Mwishoni mwa wiki Benki ya NMB ilishiriki futari na wateja wake jijini Zanzibar.Hii ni katika kuendeleza mahusiano mazuri ambayo yamekwishajengeka baina ya wateja wa NMB na Benki ya hiyo.

Mkuu wa kitengo cha akaunti binafsi wa NMB, Abdulmagid Nsekela akiwaongoza wageni waalikwa katika kupata futari.
 Baadhi ya Maofisa wa kike wa NMB, wakiwa eneo la tukio.
Baadhi ya Maofisa wa Benki ya NMB wakiongoza na na mgeni rasmi Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi seif Iddi, kuingia ukumbini wakati wa hafla hiyo ya kushiriki futari na wateja wa NMB mjini zanzibar.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>