*MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE NCHINI KUISHI MAISHA YA AMANI NA UPENDO
Na Anna Nkinda – MaelezoWanawake nchini wametakiwa kuishi maisha ya upendo, umoja na mshikamano bila ya kuangalia itikadi zao za dini na vyama vya siasa hatua itakayosaidia kuimarisha hali ya amani na...
View Article*CCM BADO INA IMANI KUBWA NA TUME YA KATIBA
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo, katika Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Picha na...
View Article*MKOA WA VYUO VYA ELIMU YA JUU CCM WAFANYA KUBWA LA WASOMI WA VYUO VIKUU...
Sehemu ya Vijana wa Vyuo Vikuu walioshiriki Kongamano la kujadili Rasimu ya Katiba Mpya na Rasilimali za nchi yetu. Baadhi ya Mafisa wa Mkoa wa Vyuo Vya Elimu ya Juu CCM wakiwa na mgeni rasmi wa...
View Article*PSPTB YAZINDUA BODI MPYA NA KUONGEZA VIONGOZI WAPYA
Mgeni rasmi kaimu msajili wa hazina Dkt. Tesha, akikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi bodi mpya ya PSPTB, wakati wa hafla hiyo fupi ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam,...
View Article*MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID EL FITRI KUKU NA BIDHAA NYINGINEZO BEI JUU
Mfanyabiashara wa Kuku (katikati) akiwa katika mitaa ya Kariakoo, akisubiri wateja wa kuku. Katika kipindi hiki cha kuelekea Sikukuu ya Iddi, baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama...
View Article*BREAKING NEEEWZZZ!!! MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA...
Habaari zilizoufikia mtandao huu hivi pune kutoka Jijini, Nairobi, zinasema kuwa Moto mkubwa umeuzuka asubuhi hii katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyetta (JKIA) jijini Nairobi, ukianzia...
View Article*MOTO ULIOZUKA ASUBUHI UWANJA WA JOMO KENYATTA NAIROBI
Taswira ya uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta, jijini Nairobi wakati ukiendelea na janga la moto katika moja ya jengo la Uhamiaji la uwanja huo leo asubuhi.
View Article*WAKAZI WAISHIO PEMBEZONI MWA JIJI LA DAR WAFURAHIA HUDUMA YA MOBILE CLINIC...
Mhudumu wa gari la kutolea huduma za afya linalotembea (mobile clinic) la Benki ya NBC, Wilbard Kiria (kushoto) akimpa mtoto Shackshazi Rahim dawa ya minyoo katika kliniki ya wamama na watoto...
View Article*NMB YASHIRIKI FUTARI NA WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akishukuru uongozi wa NMB kwa kuandaa wasaa mzuri na kushiriki katika kukamilisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, wakati wa hafla ya futari ya...
View Article*RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAMJULIA HALI MHE. JOHN CHEYO ALIYELAZWA AGA KHAN
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo, aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama...
View Article*BALOZI MDOGO WA OMAN AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN LEO.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar...
View Article*NAIROBI AIRPORT FIRE: LARGE BLAZE CLOSES JOMO KENYATTA INTERNATION
A "massive" fire has broken out at Nairobi's Jomo Kenyatta International airport, forcing one of East Africa's largest transport hubs to shut down, officials say."There is a serious fire at JKIA...
View Article*KONYAGI WAIOMBA SERIKALI KUONDOA KODI KATIKA ZAO LA ZABIBU
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distileries Limited (TDL), David Mgwassa, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu kuiomba serikali kuondoa...
View Article*BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA, AMUAGA RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe,Mutinda Mutiso,alipofika Ilkulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,akiwa...
View Article*UMOJA WA MABALOZI SABA KUTOKA BARA LA ASIA WAZUNGUMZIA MAONYESHO YA NANE YA...
Kiongozi wa mabalozi saba kutoka nchi za Bara la Asia, ambaye ni Balozi wa Pakistan Tajammul Altaf wanne (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA WABUNGE WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na baadhi ya wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AKIFUNGA RASMI KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi kitabu maalum cha kuhamasisha ulishaji bora wa watoto katika jamii wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji...
View Article*BARAZA LA KATIBA LA WABUNGE WANAWAKE LAMALIZIKA LEO MJINI BAGAMOYO
Mwezeshaji katika baraza la katiba la wabunge wanawake Tanzania Jaji Mstaafu Mhe. Jaji Mstaafu Eusebio Munuo akiwakilisha mada kuhusu yaliyomo katika rasimu ya katiba. Wabunge wanawake wanaunda baraza...
View Article