*MKURUGENZI WA MAELEZO-MWAMBENE NA MKURUGENZI WA UTAMADUNI-MWASOKO WATEMBELEA...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Assah Mwambene (kulia) akizungumza jambo wakati yeye na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni kutoka wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman...
View Article*DKT. MAHANGA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WAKAGUA UJENZI WA...
Mbunge wa Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akiwaonesha wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ilala (Jimbo la Segerea), kituo kipya cha Polisi...
View Article*MATOKEO YA UCHAGUZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akizungumza na madiwani wa CCM wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wiki iliyopita.**************************************WAPINZANI WACHEZEA KICHAPO KIBONDOKatika hali...
View Article*BILIONEA AUAWA KWA RISASI 20 MJINI MOSHI MCHANA KWEUPEEE
Askari polisi wa Wilaya ya Hai wakianda mwili wa mfanyabiashara wa madini Erasito Msuya aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika eneo la Wasomali, mkoani Kilimanjaro, kwa ajili ya kuupeleka chumba cha...
View Article*MZUNGU JAMBAZI SUGU LA ATM LANASWA DAR ES SALAAM, LAPEWA KIPONDO CHA HAJA
Raia wa Bulgaria akiwa chini ya Ulinzi baada ya kupata kichapo kwa kudaiwa kuiba fedha kwenye mashine ya kutolea fedha (ATM) ya BOA tawi la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam jana. Picha Na Juliana...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUTURISHA CHAKECHAKE PEMBA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakati wa hafla ya futari ya...
View Article*WAKALA WA MAJENGO (TBA) KATIKA MAONESHO YA NANE NANE NZUGUNI DODOMA
Wakala wa Majengo (TBA), ulianzishwa mwaka 2002 kupitia Sheria ya Wakala Namba 30 ya mwaka 1997. Lengo la kuanzishwa TBA ni kutoa huduma bora na ya gharama nafuu ya makazi kwa watumishi wa umma na...
View Article*POLISI KUUKABILI UHALIFU KISASA ZAIDI, YAIPA TENDA KAMPUNI YA KIZALENDO YA...
Mkurugenzi wa Kampuni ya kizalendo ya Kotes (T) Ltd, Max Komba (wapili kulia-waliosimama), akikagua uchimbaji mtaro kwa ajili ya kutandika nyanya za mfumo wa mawasiliano kwenye kituo cha Polisi...
View Article*SERIKALI YA ZANZIBAR YAIPA POLE SERIKALI YA KENYA KWA JANGA LA MOTO ULIOZUKA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Nchini Tanzania Balozi Mutinda Mutiso hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Makamu wa Pili...
View Article*NMB YAZINDUA ASASI YA MAENDELEO YA KILIMO (NMB FOUNDATION FOR AGRICULTURAL...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akisalimiana na baadhi ya wadau wa kilimo waliohudhuria uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Kilimo ya Benki ya NMB mjini...
View Article*MABONDIA FRANCIS MIYEYUSHO NA FIDELIS LIPUPA WAPIMA AFYA NA UZITO KUZIPIGA...
Mabondia Francis Miyeyusho wa Tanzania (kulia) akitunishiana misuli na bondia Fidelis Ipupa wa Zambia, wakati wa zoezi la kupima uzito kwa ajili ya pambano lao la Kimataifa litakalofanyika kesho...
View Article*YANGA YAIBANJUA 3PILLARS YA NIGERIA 1-0 TAIFA LEO
Mshambuliaji wa Yanga ya jijini Dar es Salaam, Mrisho Ngasa, akichuana kuwania mpira na mabeki wa 3Pillars ya Nigeria, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, baina ya timu hizo uliochezwa leo...
View Article*TANGAZO KWA WAPENZI NA MASHABIKI WA YANGA, MWENYEKITI YUSUF MANJI KUITISHA...
1. Hivi karibuni tumepata uhakika kuwa Tanzania Premier League (TPL) na Azam Media wanayo nia ya kuingia mkataba wa kuonyesha mechi za Ligi Kuu (Premier League) kwa msimu wa 2013/2014, 2014/2015 na...
View Article*SERIKALI YA ZANZIBAR YAITISHA KIKAO CHA DHARURA KUJADILI NA KUWASAKA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akielezea jinsi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ilivyosikitishwa na Kitendo cha raia wawili wa Uingereza Katie Gee na Kisty Trup cha kumwagiwa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI TABORA KUHUDHURIA SWALA NA BARAZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View Article*EID-MUBARAK WADAU WOTE WA SUFIANIMAFOTO KOKOTE DUNIANI
Mtandao huu wa www.sufianimafoto.com, unawatakia Sikukuu njema ya Eid El Fitri, wadau wote wa mtandao huu. Tusherehekee kwa amani na utulivu na kuyafuate yote yaliyoamrishwa na Mwenyezi Mungu na...
View Article*BALOZI MULAMULA, BALOZI NYANG'ANYI WASHEREHEKEA EID EL FITR NA WATANZANIA DMV
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Mustafa Nyang'anyi (kulia) akiwasili kwenye park ya Wheaton, Maryland kwenye sherehe ya Eid El Fitr iliyoadhimishwa Alhamisi Aug 8, 2013 baada ya...
View Article*EID MUBARAKA WAUNGWANA
Sufianimafoto katika Swala ya Iddi Kitaifa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora. Sikukuu njema waungwana, Eid Mubarak
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SWALA YA SIKUKUU YA IDDI KITAIFA MKOANI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu maalum za Sikukuu ya Iddi baada ya Swala iliyofanyika Kitaifa Mkoani Tabora katika Uwanja wa Ali Hassan...
View Article