Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA MSIKITI WA MANYEMA...

 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Msikiti wa Manyema Mkoani Tabora, kwa ajili ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa kabla kuzungumza katika Baraza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*PICHA YA LEO HATA MZUNGU ANAJUA KUSONGA UGALI

Cheki unga wake katika Ndoo, yaani Kiuswazi zaidi, Mzingira sasa yaani Ndo Kiuswazi Hasaaaa.!!!  Au ndo kusema Simba anapozidiwa...........

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MASHINDANO YA BAISKELI KANDA YA ZIWA YAFANA, WENGI WAJITOKEZA KUSHIRIKI

Baadhi ya washiriki wa mbio za Baiskeli Kanda ya Ziwa (Safari Bike Race) 2013, Wanaume wakichuana kuelekea Nzina (Igunga) km 210 kutoka Shinyanga na kurudi wakati wa sherehe za sikuu ya nane nane...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HOLLYWOOD CELEBRITY KARLIE REDD EXCLUSIVE INTERVIEW NA SWAHILI TV

  Mcheza sinema, TV personality, Nyota anayeng'ara wa Love & Hip Hop Atlanta, Mwimbaji , Mmiliki wa Biashara za Nywele, Mtu maarufu Karlie Redd aanika mikakati yake na AFRICA SWAHILI MEDIA GROUP....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*FRANCIS MIYEYUSHO AMKALISHA MZAMBIA RAUNDI YA NANE, KIDO AKALISHWA RAUNDI YA...

Bondia Fidelis Lipupa wa Zambia akiwa chini akitafakari kuendelea kusulubiwa katika pambano hilo ama la, baada ya kukalishwa na mpinzani wake Francis Miyeyusho wakati wa pambano lao la Kimataifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MSONDO NGOMA WALIPOPAGAWISHA SIKUKUU YA IDDI DDC KARIAKOO

Waimbaji wa bendi ya msondo ngoma, Hassan Moshi (kulia) na Eddo Sanga, wakishambulia jukwaa, waka wa onesho lao la Iddi lililofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo Dar es salaam, jana. Picha na Super...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZUNGU Katie Gee (18) NA Kristie Trup (18) WAPOKELEWA UINGEREZA CHINI YA...

Raia wa Kigeni 'Wazungu' Katie Gee (18) na Kristie Trup (18), wamewasili nchini Uingereza na kupokelewa na Ndugu, Jamaa na Marafiki huku wakiwa chini ya ulinzi mkali.Walimu hao wawili wa kujitolea,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

* RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUMI, BIASHARA NA VIWANDA WA JAPAN MHE....

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan, Mheshimiwa Toshimistu Motegi wakati alipofika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KWA WADAU WA SUFIANIMAFOTO

Eid Mubaraka

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BREAKING NEEEEWZZZZ!!!!!! SHEIKH PONDA 'ARAMBWA' RISASI AKITOKA KWENYE...

Habari zilizo tufikia hivi punde katika chumba cha habari cha mtandao huu zinasema kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda, amejeruhiwa kwa risasi na Polisi muda mfupi baada ya kumaliza mhadhara wake Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SIMBA YAMALIZIA HASIRA ZAKE KWA SPORTS CLUB VILLA YA UGANDA, YABANJUA 4-1

Kiungo wa Simba, Amri Kihemba (kulia) akimtoka beki wa Sports Club Villa ya Uganda wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana jioni katka Ta,asha la Simba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SOMA TUKIO KAMILI NA PICHA LA SHEIKH PONDA KUTOROSHWA NA MASHEIKH KWA MLANGO...

Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu, wakati akizungumza kwenye Kongamano, jana mjini Morogoro.Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu, wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UPDATE YA UJENZI WA VITUO VYA MABASI YAENDAYO KASI BARABARA YA MOROGORO

 Vituo vya mabasi yaendayo kasi katika Barabara ya Morogoro tayari vimekwishakamilika kama baadhi vinavyoonekana pichani hiki ni Kituo cha Mwembechai.  Kituo cha Magomeni Argentina. Kituo cha Manzese...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NSSF YAIPIGA TAFU BOOM FC

Na Mwandishi WetuUONGOZI wa Boom FC umelishukuru Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa kuipatia msaada wa Sh 5,125,000 kwa ajili ya uendeshaji wa timu hiyo katika Ligi Daraja la Pili Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKOCHA 32 KUSHIRIKI KOZI YA FIFA COPA COCA-COLA

Na Boniface Wambura, DarMakocha 32 kutoka mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani wanashiriki kozi ya Copa Coca-Cola inayoanza kesho (Agosti 12 mwaka huu) jijini Dar es Salaam chini ya Mkufunzi kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SEMINA YA MAKAMISHNA YAANZA DAR, MWANZA

Boniface Wambura, DarSemina kwa ajili ya makamishna wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL) pamoja na mtihani wa utimamu wa mwili (physical fitness test) kwa  waamuzi wote wa daraja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SHEIKH PONDA AKIWA KATIKA CHUMBA CHA MATIBABU HOSPITALI LEO

Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda, akiwa katika chumba cha matibabu akiwa na Jeraha begani alipopigwa risasi. Hata hivyo Picha hii iliyoufikia mtandao huu haikuweza kueleza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AMTEMBELEA MZEE TENGENEZA MSOGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mzee Khalfan Tengeneza Mchaga,  katika kijiji cha Msoga, Kata ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo leo wakati Rais alipomtembelea kumjulia hali. Rais Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SHEIKH PONDA AKIWA HOSPITALI YA MUHIMBILI, JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO...

 Sehemu ya kodonda katika bega la Sheikh Ponda baada ya kushinwa nyuzi.  Katibu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda, akiwa katika Wodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akitibia jeraha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ROBIN VAN PERSIE AIPA MAN U KOMBE LA NGAO YA HISANI KWA MABAO YAKE 2-0 DHIDI...

Robin van Persie (katikati) akiruka kupiga mpira wa kichwa na kufunga bao la mapemba katika dakika ya sita wakati wa mchezo wa Ngao ya Hisani kati yao na Wigan katika Uwanja wa Wembley. Wachezaji wa...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live