Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MSONDO NGOMA WALIPOPAGAWISHA SIKUKUU YA IDDI DDC KARIAKOO

$
0
0
Waimbaji wa bendi ya msondo ngoma, Hassan Moshi (kulia) na Eddo Sanga, wakishambulia jukwaa, waka wa onesho lao la Iddi lililofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo Dar es salaam, jana. Picha na Super D
Wanamuziki wa Msondo wakiwa kazini.
Kushoto ni Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande, wakiwajibika.
Saddy Ally akiwajibika wakati wa Onesho hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>