*YANGA YAMALIZA VYEMA MECHI ZAKE ZA KIMATAIFA ZA KIRAFIKI, YAICHAPA SPORTS...
Timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam, leo imemaliza vyema mechi zake za Kimataifa za Kirafiki za kujipima nguvu, baada ya kuigalagaza timu ya Sports Club Villa ya Uganda kwa jumla ya mabao 4-1 katika...
View Article*WAMEONA KAMA HATUWAELEWI WAKIANDIKA 'KIKRISTU' YAANI KINGEREZA SASA WAMEAMUA...
Hawana Lolote Mabinti hawa ni wezi tu, tena wa kimataifa Enyi Vidume kaeni chonjo mkiingia King tu mtalia kilio cha mwaka, kwani wanajitahidi kuwa karibu nawe na kadri mnavyozidi kuchati anagundua...
View Article*CHELSEA NA AS ROMA, RFK STADIUM, WASHINGTON, DC KATIKA PICHA
Chelsea FC ya Uingereza Jumamosi Aug 10, 2013 ndani ya jiji la watunga sheria (Washington, DC) kwenye uwanja wa RFK iliibanjua timu ya AS Roma ya Italia kwa bao 2-1 mpaka mapunziko AS Roma walikua...
View Article*SHINING THE SPOTLIGHT ON FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT
Shining the Spotlight on Linda BezuidenhoutLinda Bezuidenhout (LB) is a fashion designer who is based in Atlanta, USA. Linda has been involved in fashion industry for over 20 years, in Africa, Europe...
View Article*PUSH MOBILE KUNOGESHA FIESTA 2013, KUMWAGA VITZ 4 NA PIKIPIKI 12
Meneja Mauzo na Masoko wa Push Mobile, Rugambo Rodney akimkabidhi funguo mbili Diana Elis Mkoba baada ya kushinda shindano la Tamasha la Serengeti Fiesta 2012. Diana alikabidhiwa magari mawili aina ya...
View Article*FLAVIANA MATATA AENDELEA KUIBEBA TANZANIA NA AFRIKA KIMATAIFA
* Aashika nafasi ya juu Afrika na Kimataifa kwa kipato.***************************Na Mwandishi WetuNYOTA ya mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata amezidi kung’ara baada ya kuingia...
View Article*MAMBO YA KUZINGATIWA NA KAMATI ZA BUNGE KATIKA KUSIMAMIA FEDHA NA RASILIMALI...
Zitto Kabwe.*Mambo ya kuzingatiwa na Kamati za Bunge katika kusimamia fedha na Rasilimali za Umma. Utangulizi Katika madaraka yote ambayo Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa kwa Bunge kwa...
View Article*WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA MONTAGE WASHEREHEKEA SIKUKUU YA IDDI NA WANAFUNZI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage Tanzania Teddy Mapunda akiwagawia soda wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya watoto wa kike ambao ni yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi ya...
View Article*BALOZI IDDI AFUNGUA MKUTANO WA 31 WA KIMATAIFA WA TATHMINI YA ELIMU YA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufungua Mkutano wa 31 ya Kimataifa wa Tathmini ya Elimu ya Afrika unaofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha. Baadhi ya wajumbe wa...
View Article*RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi Mteule wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na...
View Article*KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CANADA LEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Caanada hapa nchini, Alexandre Leveque, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Balozi...
View Article*BALOZI MULAMULA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 5 YA KANISA LA THE WAY OF THE...
*CHRISTINA SHUSHO, UPENDO KILAHIRO WAPAMBA JUKWAABalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula ndiye aliyekuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 5 ya kanisa la The Way of The Cross...
View Article*WAJUMBE WA KAMATI ZA HESABU ZA SERIKALI WATAKIWA KUWA WADILIFU
Na Veronica Kazimoto – MAELEZOBagamoyoSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amewataka wajumbe wa Kamati za Hesabu za Serikali kuwa waadilifu katika utendaji wao wa kazi ili...
View Article*KAMPUNI YA LAJANN E- SYSTEM ENTERPRISES YA DAR YATOA MSAADA KWA KITUO CHA...
Meneja wa Kampuni inayojishughulisha na kurusha matangazo yanayohusu ligi ya mpira wa miguu ya Tanzania kupitia mtandao, Nzowa Wawila akizungumza juu ya umuhimu wa mtandao huo wakati wa kutoa msaada...
View Article*KOZI YA MAKOCHA 32 WA MICHUANO YA COPA COCACOLA YAFUNGILIWA LEO JIJINI DAR
Mwalimu wa mafunzo ya Ukocha ya 'FIFA Copa Cocacol U 15', Govinder Thondoo, akitoa mafunzo kwa Makocha 32 waliohudhuria mafunzo hayo yaliyofunguliwa leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Makocha hao...
View Article*SHINDANO LA REDD'S MISS ILALA 2013 KURINDIMA IJUMAA WIKI HII UKUMBI WA...
Warembo wanaotarajia kushiriki Redd's Miss Ilala, wakiwa wamepozi wakati wa mazoezi kwenye Mgahawa wa Billicanas, Dar es Salaam, tayari kwa mashindano yatakayofanyika Ijumaa kwenye Ukumbi wa Golden...
View Article*SALAMU MAALUM ZA SHUKURANI KUTOKA MBEYA YETU BLOG BAADA YA KUPATA USHINDI WA...
Hii ndiyo hati ya Ushindi tuliyopewa na TASOKaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Deodatus Kinawilo aliye simama Mbele akipokea Maelezo ya Kina juu ya Mbeya yetu Blog...
View Article*BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA SIMBA WATUNDURU WASAINI MKATABA...
Rais wa TPBO Ltd, Yassini Abdallah 'Ostadhi' (katikati) akiwatambulisha mabondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) na Simba Watunduru baada ya kusaini mkata wa kupambana August 30 katika...
View Article*MLEZI, MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHIWA KATIBA NA VIONGOZI WA SHIMUTA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea...
View Article