Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKUU WA MKOA DAR MECK SADICK MGENI RASMI SEMINA YA KLABU ZA LIGI KUU NA ZA...

Na Mohamed Mharizo, DRFACHAMA Cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kitaendesha semina ya siku moja kwa klabu 11 za Mkoa wa Dar es Salaa zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom na Ligi Daraja la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SHIRIKA LA UNESCO LAKUSUDIA KUVIJENGEA UWEZO VYOMBO VYA HABARI VYA JAMII...

Makao Makuu ya kituo cha habari na mawasiliano cha Redio ya jamii Sengerema Fm mkoani Mwanza kunakofanyika warsha ya wiki moja kwa redio za jamii nchini kwa ajili ya kuziandaa kuhubiri mijadala ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMATI KUTANGAZA MCHAKATO WA UCHAGUZI TFF KESHO

Na Boniface Wambura, DarMchakato wa uchaguzi wa kamati mpya ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unatarajiwa kutangazwa kesho (Agosti 13 mwaka huu).Mwenyekiti wa Kamati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*CRESCENTIUS MAGOLI NA LINA KESSY WATEULIWA KATIKA KAMATI ZA CAF

Watanzania Crescentius Magori na Lina Kessy wameteuliwa kuwa wajumbe kwenye kamati ndogondogo (standing committees) mpya za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) zilizotangazwa juzi na Katibu Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMATI YA SHERIA KUANZA KUPITIA USAJILI KESHO NA KUTOA MAAMUZI

 Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji chini ya Mwenyekiti wake Alex Mgongolwa inakutana leo jioni (Agosti 13 mwaka huu) na kesho (Agosti 14 mwaka huu) kupitia na kufanyia uamuzi usajili wa wachezaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAREMBO WA REDD'S MISS ILALA KUWANIA TAJI LA MISS TALENT LEO

Na Mwandishi Wetu, DarKATIKA Kuelekea Redds Miss Ilala Ijumaa, leo kutakuwa na shindano la kumtafuta mrembo mwenye kipaji (Talent) itakayofanyika katika mgahawa wa City Sports and Loungeu liopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAMASHA LA VYOMBO VYA HABARI MKOA WA ARUSHA KUFANYIKA SEPTEMBA 8

Mwandishi Mwandamizi wa New habari 2066, Ltd, Mwani Nyangassa (wa pili kulia) akionyesha uwezo wake wa kusebeneka na baadhi ya wanahabari wakati wa Tamasha la Waandishi wa Habari lililofanyika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIJANA WANAOJISHUGHULISHA NA UCHORAJI BAADA YA...

 Kijana Jimmy Changchuu alieachana na matumizi ya dawa za kulevya akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete picha aliyochora yeye na kijana mwenzake wakati vijana hao walimpomtembelea Rais Ikulu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SWAHILI RADIO KUANZA KURUSHA MATANGAZO HEWANI HIVI KARIBUNI KUTOKEA JIJINI...

Mkurugkenzi wa Swahili Radio Bwana Dickson Mkama (DMK) akiwa hewani wakati  wa majaribio.Mkurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex Kassuwi (King) akiwa hewani akifanya majaribio.Bwana DMK akiendelea na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BAKWATA YATAKA TUKIO LA KYELA LIFANYIWE UCHUNGUZI

NA JENNIFER CHAMILA – MAELEZOBARAZA   Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) limeviomba vyombo vya dola kuendelea kufanya uchunguzi  kuhusu tukio la kuvamiwa,kupigwa na kujeruhiwa kwa Imamu na waumini wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZIRI DKT. FENELLA MUKANGARA ATANGAZA WAJUMBE 11 WA KAMATI UHURU MARATHON...

 Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali nchini wakiwa katika chumba cha mikutano cha wizara ya habari wakati Waziri Mukangara, akizungumzia kuhusu uteuzi wa kamati ya Mbio za Marathon za...

View Article

*KAMATI KUU YA CCM KUAMUA HATMA YA MADIWANI BUKOBA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AFUNGA MAFUNZO YA POLISI JAMII

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana(kushoto) akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya Ulinzi shirikishi na wakati wa Kata ya Maakumbusho wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS JAKAYA KIKWETE AKABIDHIWA JEZI YA BARCELONA YENYE SAINI ZA WACHEZAJI WOTE

 Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Kushilla Thomas akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi iliyosainiwa na wachezaji wote wa timu ya FC Barcelona Ikulu jijini Dar es salaam jana...

View Article

*VIDEO YA HOTUBA YA RAIS KIKWETE YA MAJUMUISHO YA ZIARA YA MKOA WA KAGERA...

View Article


*TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO

TANGAZO                                MAHALI                  :       MAELEZO IPC                            TAREHE                   :       15/08/2013                                MUDA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ASKARI FEKI WA USALAMA BARABARANI ANASWA JIJINI DAR

 ''RIAFANDE BANDIA RIKIWA CHINI YA ULINZI''.  Askari Bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyekamatwa leo mchana maeneo ya Kinyelezi Mnara, Tabata jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake,...

View Article


*SWAHILI TV EXCLUSIVE INTERVIEW WITH ARMY NANDO MSHIRIKI WA TANZANIA JUMBA LA...

Swahili TV ilifanya mahojiano exclusive na  Ammy Nando katika Jiji la Los Angeles, USA. Ammy ambaye kwa sasa anajulikana kama Army Nando, Mtanzania mwenye makazi yake katika jimbo la California,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BFT KUKABIDHIWA VIFAA VYA TIMU YA TAIFA YA NGUMI KUJIANDAA NA MASHINDANO YA...

BOXING FEDERATION OF TANZANIA (BFT) SHIRIKISHO LA NGUMI TANZANIA.***********************Yah:- Kukabidhiwa vifaa vya mazoezi na nauli wachezaji wa timu ya taifa yangumi.Mkurugenzi wa St. Merry School...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA TBL WAFANYIKA DAR

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL),  ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>