*YANGA KUENDELEZA UTEJA KWA AZAM JUMAMOSI NGAO YA HISANI?
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Yanga na makamu bingwa Azam Fc wanavaana keshokutwa (Jumamosi) kwenye mechi ya Ngao ya Jamii (Community Shield) kuashiria uzinduzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu ya...
View Article*LIGI DARAJA LA KWANZA KUANZA KURINDIMA SEPT 14 MWAKA HUU
Na Boniface WamburaMichuano ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) inayoshirikisha timu 24 zilizogawanywa katika makundi matatu msimu huu (2013/2014) itaanza kutimua vumbi Septemba 14 mwaka huu.Kila timu...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI MATUKUFU...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati alipokuwa akitoa taarifa maalum kwa Wananchi ya Uzinduzi wa Sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi...
View Article*WASANII WATAKAOSHAMBULIA JUKWAA LA FIESTA 2013 KIGOMA WAZURU KABURI LA...
Baadhi ya Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongo Fleva, ambao wapo safarini kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya kushambulia jukwaa la Tamasha la Fiesta 2013, linalorajia kufanyika Agosti 17,...
View Article*RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAOMBOLEZA KIFO CHA KATIBU MKUU IKULU...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo huku Mama Salma Kikwete akisubiri zamu yake wakati walipokwenda kuomboleza na kufariji wafiwa kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu...
View Article*MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI UHIFADHI NA ULINZI WA IKOLOJIA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Taasisi na Ulinzi wa Ikolojia kutoka nchini China, wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake...
View Article*MISS TANZANIA BEAUTY PAGEANT USA KUFANYIKA DECEMBER WASHINGTON DC
FOR MORE INFO FOR NOW CALL 202-830-8904
View Article*RAIS KIKWETE AWASILI MALAWI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Joyce Banda wa Malawi wakipokea heshima muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika uwanja wa ndege wa Lilongwe kuhudhuria Mkutano wa wakuu wa nchi SADC leo...
View Article*TANGAZO LA MKUTANO WA MAREKEBISHO YA KATIBA KWA WATANZANIA MAREKANI
Tume ya Mapendekezo ya katiba kwa watanzabia wanaoishi Marekani imeundwa ili kukusanyamaoni na mapendekezo kutoka kwa watanzania wore waishio nchini Marekani na Canada.website...
View Article*TUME YA KATIBA YAZUNGUMZA NA WAWAKILISHI WA BARAZA LA KATIBA MANISPAA YA...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akifafanua jambo leo katika mkutano wa Baraza la Katiba la Manispaa ya Morogoro uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Kigurunyembe. Kushoto...
View Article*MWAMAKULA NA MOMBA WAPIMA UZITO KUZIPIGA KESHO KUWANIA UBINGWA WA PST
Bondia Sadiki Momba (kushoto) akitunishiana misuli na Amos Mwamakula, baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya pambano lao la ubingwa wa Taifa wa PST litakalofanyika kesho jumapili katika ukumbi wa...
View Article*MISS TABATA DORIS MOREL ATWAA TAJI LA REDD'S MISS ILALA 2013
Miss Tabata na Miss Ilala 2013, Doris Morel, akipunga mkono kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi wa shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee Tower. Kulia ni...
View Article*YANGA INAONGOZA BAO 1-0 NI KIPINDI CHA PILI KIMEANZA
Mfungaji wa bao hilo, Salum Abdul Terela, akichanja mbuga.
View Article*YANGA BINGWA WA NGAO YA JAMII 2013
Mkuu wa Mko wa Dar es Salaam, Mecky Sadick, akimkabidhi Ngao ya Jamii, Nahodha wa timu ya Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro', baada ya mcheo wa Ngao ya Jamii dhidi yao na Azam Fc, mchezo uliomalizika hivi...
View Article*MAN U YAANZA LIGI KWA KUIBANJUA SWANSEA MABAO 4-1
Mshambuliaji wa Manchester United, Robin Van Persie (kulia) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa Swansea City, Chiko Flores, wakati wa mchezo wa timu hizo wa ufunguzi wa Dimba la Ligi Kuu ya England...
View Article*MATUKIO KAMILI YANGA ILIVYOENDELEZA UTEJA KWA AZAM FC LEO
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva (wa pili kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Azam Fc, Himid Mao, wakati wa mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, uliochezwa kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es...
View Article*RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA 33 WA SADC LILONGWE MALAWI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na baadhi ya wakuu wan chi za SADC muda mfupi baada ya ufunguzi wa mkutano wa 33 SADC uliofanyikaKatika ukumbi wa Bingu...
View Article*MAZIKO YA MZEE ASEID RAMADHAN MMOJA KATI YA WAASISI WA ASP NA CCM.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa na viongozi wengine wa Serikali wakati wa kumswalia Marehemu Mzee Ased Ramadhan. Marehemu alikuwa Mtumishi wa...
View Article*FOOLISH AGE YA LULU KUZINDULIWA MWISHO WA MWEZI HUU NDANI YA MLIMANI CITY DAR
Msanii mwenye kipaji cha Hali ya juu nchini na Mwenye umri mdogo Elizabeth Michael "LULU"anatarajia kuzindua filamu yake ya Kwanza tokea alipotoka Gerezani, Filamu hii iitwayo FOOLISH AGE ikiwa...
View Article*MBOWE AWATAKA WATANZANIA KUJADILI RASIMU YA KATIBA NA KUTOA MAONI VYEMA
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh....
View Article