Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MAZIKO YA MZEE ASEID RAMADHAN MMOJA KATI YA WAASISI WA ASP NA CCM.

$
0
0
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa na viongozi wengine wa Serikali wakati wa kumswalia  Marehemu Mzee Ased Ramadhan.  Marehemu alikuwa Mtumishi wa Chama cham ASP na CCM,ambapo alishika nafasi mbali mbali zikiwemo Mkuu wa Utawala Makao Makuu ya ASP na Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
 Baadhi ya Wananchi walioshiriki mazishi ya Marehemu Mzee Ased Ramadhan wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu huyo Aliyefariki jana na kuzikwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja.marehemu aliwahi kushika nyadhifa mbali mbali katika Chama cha ASP na CCM.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Mzee Ased Ramadhan.  Marehemu alikuwa Mtumishi wa Chama cham ASP na CCM,ambapo alishika nafasi mbali mbali zikiwemo Mkuu wa Utawala Makao Makuu ya ASP na Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles