Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA 33 WA SADC LILONGWE MALAWI

$
0
0
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na baadhi ya wakuu wan chi za SADC muda mfupi baada ya ufunguzi wa mkutano wa 33 SADC uliofanyikaKatika ukumbi wa Bingu International Conference centre,mjini Lilongwe Malawi leo.
Picha ya pamoja. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri Mkuu wa Namibia Marko Hausiku,Makamu wa Rais wa Zambia Dr.Guy Scott,Rais wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC),Rais Dkt.Jakaya Kikwete,Mwenyeji Rais Dkt.Joyce Banda wa Malawi, Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji,Katibu Mtendaji wa SADC anayemaliza muda wake Dkt.Tomaz Salomao, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, na Rais Ian Khama wa Botswana. Picha na Freddy Maro

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>