Bondia Sadiki Momba (kushoto) akitunishiana misuli na Amos Mwamakula, baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya pambano lao la ubingwa wa Taifa wa PST litakalofanyika kesho jumapili katika ukumbi wa Friends Corner Manzese, jijini Dar es Salaam. Picha na Super D.
Bondia Habibu Pengo (kushoto) akitunishiana misuli na Iddy Mkwera, baada ya kupima uzito kwa ajili ya pambano lao la utangulizi katika pambano la ubingwa wa PST kati ya Mwamakula na Momba kesho. |