Miss Tabata na Miss Ilala 2013, Doris Morel, akipunga mkono kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi wa shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee Tower. Kulia ni mshindi wa pili Alyce Isaac, aliyetokea Miss Dar City Center na mshindi wa tatu (kushoto) aliyetokea Dar City Center.
Miss Tabata na Miss Ilala 2013, Doris Morel, akipunga mkono kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi wa shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee Tower, mshindi wa pili Alyce Isaac (wa pili kulia) aliyetokea Miss Dar City Center, mshindi wa tatu (wa pili kushoto) aliyetokea Dar City Center, mshindi wa nne Pendo Lema, aliyetokea Miss Tabata na mshindi wa tano, Shamim Mohamed, aliyetokea Miss Mzimzima.
Wadau wakiwa nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa shindano hilo.
Wadau wakipiga picha za kumbukumbu kwenye Red Kapeti. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPO CHINI
Wadau wakipiga picha za kumbukumbu kwenye Red Kapeti.
Pozi la kupiga picha akipigwa na mpiga picha.
Warembo wakipita jukwaani na vazi la usiku.
Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akitambulishwa.
Meza Kuu.
Mrembo akipita jukwaani na vazi la Ufukweni.
Warembo wakipita jukwaani na vazi la ubunifu.
Mrembo akipita jukwaani na vazi la ufukweni.
Wadau wakiwa ukumbini humo kushuhudia shindano hilo.
Meneja wa TBL, Fimbo Butala, akimkabidhi zawadi ya fedha mshindi wa kwanza, Miss Ilala 2013, Doris Morel.
Na Mwandishi Wetu
Miss Tabata Dorice Mollel (22) usiku wa kuamkia jana aliwashinda warembo wengine 13 kushinda Redds Miss Ilala 2013 katika shindano iliyofanyika kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Tower, Dar es Salaam.
Dorice alimrithi Noela Michael ambaye alishinda taji hilo mwaka jana pia akitokea Tabata.
Dorice alizawadiwa 1.5milioni/-, na mshindi wa pili Alice Isaac (Dar City Centre) alipata 1milioni /-.
Mshindi wa tatu katika shindamo hilo ni Clara Bayo (Dar City Centre) ambaye alizawadiwa 700,000/-. Mshindi wanne Pendo Lema (Tabata) alizawadiwa 400,000/- na watano Shamim Mohamed alipata 300,000/-.
Mrembo Juanita Kabunga kutoka Tabata alizawadiwa 500,000/- baada ya kushinda Miss Talent na Kabula Kibogoti pia kutoka Tabata alishinda taji la Miss Rio and Spa na kuzawadiwa 200,000/- na ajira ya kudumu kwenye kampuni hiyo.
Warembo waliosalia kila moja alipata kifuta jasho cha 200,000/-.
Warembo hao ni Clara Paul, Anna Johnson, Irene Mwelolo, Rehema Mpanda, Martha Gewe, Diana Joachim, Natasha Mohamed, Kazumbe Mussa, Kabula Kibogoti na Juanita Kabunga.