$ 0 0 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Joyce Banda wa Malawi wakipokea heshima muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika uwanja wa ndege wa Lilongwe kuhudhuria Mkutano wa wakuu wa nchi SADC leo jioni.