Mwezeshaji katika baraza la katiba la wabunge wanawake Tanzania Jaji Mstaafu Mhe. Jaji Mstaafu Eusebio Munuo akiwakilisha mada kuhusu yaliyomo katika rasimu ya katiba.
Wabunge wanawake wanaunda baraza la katika la Chama cha wabunge wanawake Tanzania (TWPG) wakifuatilia mada kwa makini.
Wabunge wakijadili rasimu ya katiba wakati wa baraza la katiba la lilifanyika Bagamoyo. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPO CHINI
Wabunge wakijadili rasimu ya katiba wakati wa baraza la katiba la lilifanyika Bagamoyo
Wabunge wakijadili rasimu ya katiba wakati wa baraza la katiba la lilifanyika Bagamoyo.
Mwenyekiti wa TWPG mhe. Anna Abdalah akihutubia wajumbe wa baraza la Wabunge wanawake wanaunda baraza la katika la Chama cha wabunge wanawake Tanzania (TWPG) kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufunga baraza hilo.
Mgeni rasmi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mhe. Jaji Joseph Warioba akifunga rasmi baraza la katiba la wabunge wanawake waliokutana kujadili rasimu ya katiba ili kutoa mapendekezo.
Waheshimiwa wabunge wakimpongeza Mhe. Warioba baada ya kufunga rasmi baraza hilo.
Waheshimiwa wabunge wakimpongeza Mhe. Warioba baada ya kufunga rasmi baraza hilo.
Picha ya pamoja na Mgeni rasmi.
Mwenyekiti wa chama cha wabunge wanawake (TWPG) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu maazimio ya baraza la wabunge wanawake lililokaa siku tatu kujadili rasimu ya katiba na kuainisha mapendekezo yao. Kushoto ni Naibu katibu wa TWPG Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TWPG Mhe. Suzan Lyimo na katibu TWPG ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angela Kairuki. Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge