Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*PSPTB YAZINDUA BODI MPYA NA KUONGEZA VIONGOZI WAPYA

$
0
0
 Mgeni rasmi kaimu msajili wa hazina Dkt. Tesha, akikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi bodi mpya ya PSPTB, wakati wa hafla hiyo fupi ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo mchana. Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa bodi ya Psptb, Dkt. Hellen Bandiho.
 Mwenyekiti mpya wa Bodi ya PSPTB, Dkt.  Hellen Bandiho, akizungumza na wajumbe wapya wa Bodi hiyo, (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Baadhi ya Wajumbe wapya na wa zamani wa PSPTB wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi. Picha Zote na Miraji Msala wa Sufianimafoto

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>